Udaku special........

Udaku special........

Dadi yangu sio mnokoo huyo atakua ni Baba V ... Dadi yangu ndio billionaire humu ndani sio kama wale matajiri wanaokufa mapema mapema

Okay kile kizee kinoko ndio kinaitwa Baba V kumbe?na hao wanae mhhh hata siwezi kutia neno
 
Last edited by a moderator:

We endelea tu kuruka sarakasi na taulo kiunoni, akili ikikukaa sawa utanifuata mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Okay kile kizee kinoko ndio kinaitwa Baba V kumbe?na hao wanae mhhh hata siwezi kutia neno

Usidanganywe na huyo manoah... anajua anachokifanya..,BTW weekend hii tunaenda tena Zanzibar kama last week au tubadili upepo...!?
 
Last edited by a moderator:
Usidanganywe na huyo manoah... anajua anachokifanya..,BTW weekend hii tunaenda tena Zanzibar kama last week au tubadili upepo...!?

Labda twende bondeni a.k.a south, mwenzio manoah ananipeleka dubai hivyo, me na zanzibar tena wala sitaki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom