Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
- Thread starter
- #21
oohH ngona niibadirishe basi usije kuota usiku bure au unaonaje?
Mbona unanitisha na avatar yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unanitisha na avatar yako?
oohH ngona niibadirishe basi usije kuota usiku bure au unaonaje?
Me nshamzoea babu bana, nirudishie babu yangu
usijari ngoja nimuweke babu hapo..
Mbona bado simuoni?
babu mbona kaisha rudi bana... haumuoni bado?
Ehehhheee sasa tunaenda sawa...
huyu mtu mie hua namkubari sana.
haya twende sasa.. natumai tupo pamoja
hapa sasa tunaenda na beat
mie na wewe tena... jana unakumbuka ? zawadi yangu toka huko bana iko wapi
Mh zawadi ipi tena sio kwamba wewe ndio wa kunipa zawadi?
mie yako ipo wala usiwe na hofu ,ila huko unaninyima vingi kiasi nisipochagu nita ..........
Unajua mimi ni mgeni CC sasa ungenipatia kwanza zawadi ndipo na mie nikupatie zile zangu
chagua chochote kile kitakacho kufanya uwe na furaha na amani huku Chit Chat, nacho utakipata....
Kuhusu ilo ondo shaka , hapa ndipo utafikia dadi Bishanga kanipa ruhusa
unapenda safari iwe lini?
Ianze kipindi cha ........july to august.....tukae huko kwa miezi 2