Wakuu nimepata udaku wa matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwa wana chit chat walioko safarini Tanga,nimemtafuta TANMO ili arushe bombani hajapatikana hadi sasa, TANMO popote ulipo una kazi ya kufanya huku, baadhi ni
i. Madame B awagonganisha Arushaone na PakaJimmy
ii. Babu Dark City hoi kwa Arabela
iii.. Mungi adondosha hirizi bafuni, ilikuwa imeandikwa jina la marejesho
iv. watu8 akutwa chumbani kwa Preta saa nane usiku,adai alienda kumpigia kampeni charminglady, taarifa zamfikia measkron..
v...[/QU
you guys had fun!
yeah tuna mipango ya mda mrefu

Yaani kuna watu wameshakuwa sugu wa Udaku humu. Kuna wengine huwa wananiomba kila toleo nihakikishe nimeweka habari zao, ili wauze sura..