Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Kuna mtangazaji wa kipindi hicho kila anapoita celebrity kuja kufanya naye mahojiano akiona kapendeza au kaja na kitu kizuri sana ana msemo mmoja kama wa kuidharau nchi yetu kwa kusema mfano, "Naona umevaa vizuri we sio wa nchi hii" Au "Duh, sauti yako sio nchi hii" hata kama ni swaga hebu weka swaga za kusifia nchi yako, tv program zinaangaliwa ulimwengu mzima, kifupi ni hayo tu