Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
- Thread starter
- #21
Mbuzi wapo wapi afu nipigie simu. Mkuu au nipe namba zako135k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuzi wapo wapi afu nipigie simu. Mkuu au nipe namba zako135k
Mkuu nitafutie soko la mbuzi hapo DSM ninao 182 nawatafutia soko zuri
kaka toa namba135k
Shukran mkuu nipigie tupeane michongo kaka.safi sana mkuu karibu kwenye fani
Jamaa hayupo online kabisakaka toa namba
Poa mkuu usiwaze na i save namba yako ikitokea mchongo nakushtuaShukran mkuu nipigie tupeane michongo kaka.
Pamoja sana mkuuPoa mkuu usiwaze na i save namba yako ikitokea mchongo nakushtua
Unapatikana wapHabari ndugu zangu.
Ni siku nyingine tena kwenye chini ya JUA.
Baada ya kuzurula sana kutafuta gari ya Uber na bolt bila mafanikio huku nikiwa napiga Domo (Dalali)
Kuna jamaa humu alinichek nikakutana nae tukapanga fresh Gari iwekwe gesi maana Gari yake ilikuwa CC 1700.Brother hujanipigia tena na mbaya Zaidi namba yako haitoki inaishia na 92.Nimeona niifute tu namba yako kaka.Sababu wewe mwenyewe hukunitafuta kwahiyo huwenda ulipiga hesabu zako zikawa haziendi.
Sasa wakuu Mimi ni Dalali rasmi.
Nipe Kazi ya kukuuzia na kama unahitaji kununua.
NYUMBA
GARI
KIWANJA
KITUO CHA MAFUTA.
Vile vile naweza kusimamia mradi wako kwa makubalino mazuri.(Heshima na Uaminifu ni kipaumbele)
Una shamba unataka kulima naweza kukutafutia watu wa kukulimia bila tatizo na utafanya nao makubalino ya pesa wewe mwenyewe.
Mafundi ujenzi naweza kukutafutia ambao ni professional yao kabisa.
Nipigie simu/WhatsApp +255754693556.
Nipo Dar es salaamUnapatikana wap
Naishi Dar Es SalaamUnaishi wapi