Usisahau uchawa, mpaka maprofesa kama Kabudi wamegeuka machawa."Sio kwamba nakudalalia kaka, milioni 2 ndio bei yake"
Anyway,
Udalalali, uwinga na utapeli ndio vimebaki njia pekee za kula pesa katika nchi hii, hakuna namna.
ok.🐒"Sio kwamba nakudalalia kaka, milioni 2 ndio bei yake"
Anyway,
Udalalali, uwinga na utapeli ndio vimebaki njia pekee za kula pesa katika nchi hii, hakuna namna.