Udalali wa kutisha wa ardhi ya nchi, Profesa Shivji aonya kuwa watawala hawaoni mbali, wanaangalia pafupi sana

Huyu jamaa ni mfuasi wa Karl Max ila kwa sasa ideas za kina adam smith ndio zimetamalaki hawezi kueleweka na viongozi wa zama hizi ambao wengi wao wapo zama za kutumia sana (consumerism) kulipo kutafuta, kupigania na kulinda.kizazi
Kizazi Cha kutumia, ok kina mwigulu, bashe, makamba na nape
Hakuna akili ya kutafuta

Wakimaliza kuuza kitakija kizazi Cha kutafuta
 
Hii nchi ni ya kuionea huruma, Elimu yenyewe haijafuta huo ujinga. Watu wako kishabiki sana. Badala hata kuwaonea huruma vizazi vijavyo, kuwa watakuta kila kitu kimeuzwa watu wabinafsi sana.

Natamani watu wapende kusoma sana, mambo mbalimabli kufungua upeo. Hakika wataona vitu tofauti na sasa. Tuwaache ikifika muda wa kupigwa marufuku, kila sehemu watakayoikanyaga, akili zitawarudia.
 
Inawezekana hawa wageni ndio wanaofanya ccm kiendelee kushika hatamu. who knows?
Adui anatoka nje anashirikiana na wa ndani
 
Ni juu ya wananchi wenyewe; wavujajasho wenyewe kulinda rasilimali zao na kuchukua hatma ya nchi yao mikononi mwao.
Acha wakoloni (waarabu) waje. Safari hii tukipambana tutapata uhuru imara zaidi kuliko huu tulioupata kwa mdomo na sasa hatuuthamini tena..
 
Sijasoma alichoandika,Ila tungefuata mawazo ya mjamaa shivji maana yake pasingekua na nmb, Vodacom,tigo na kampuni zingine za uwekezaji,shivji ni mpinga uwekezaji na huita kuuza
Ndiyo 'elimu' hii unayojidai nayo?
Wewe ukisha sikia neno "uwekezaji" tu, basi akili yote inakuruka kichwani?
Kwani uwekezaji ni ule unaotoka nje ya nchi pekee? Kupanda miti na kuhifadhi misitu inahitaji uwekezaji toka nje?

Kwa nini huhimizi wawekezaji waje wawekeze kutawala nchi badala ya hawa chura vziwi wasiokuwa na uwezo wa kuongoza chochote!
 
Naona alfajiri tu,kutu kwenye washeli zinasumbua, nilikwambia tafuta mtu asugue kutu,Mimi Sina ufundi huo
 
Naona alfajiri tu,kutu kwenye washeli zinasumbua, nilikwambia tafuta mtu asugue kutu,Mimi Sina ufundi huo
Hii "elimu" uliipata wapi. Nani aliye kufundisha takataka za aina hii na kuiita "elimu"?
Nilijua toka mwanzo kwa kusoma maandishi yako kinacho kusumbua. Ni ulevi wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…