Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

Kama miaka yote tumeendelea kutegemea bwawa la Mtera kama chanzo kikuu cha HEP nchini, na bwawa la Mtera chanzo chake cha maji sio kikubwa kama mto Rufiji, tunapata wapi uhalala wa kusema umeme wa HEP kwa Tanzania sio reliable?
Unaakili sana miaka nenda rudi ipo kidatu na mtera bado umeme upo ,na .maji yao sio mengi kama rufiji
 
Hapo si kweli cost effective .mpaka tukawa tunajenga hilo bwawa ku visibility study za kutosha na hatuna dam la maana Kama hilo la mwalim nyerere kamwe huwezi kulinganisha na akina kidatu ambalo ni man made
Cost effective means gharama yake inaakisi ufanisi nimetoa mfano wa SGR ina gharama lakini inaongeza ufanisi so tusiangalie gharama tu kupima faida za mradi.

Mfano kma tu ukame umekuja mgao umeanza je vipi kama 100% ya umeme wa TZ ungetegemea mabwawa hali ingekuwaje?? Je opportunity cost ya hasara inayopatikana wakati huu wa mgao ume factor in kwenye gharama ya kutumia hydro over umeme wa Gesi?

So gharama sio kila kitu tuangalie ufanisi na risk ambazo zimeepukwa.
 
Ndio maana tumeenda kwenye bwawa kubwa zaidi kwenye mto mkubwa zaidi.
 
Watu wanashadadia gesi. Gas can be depleted. Gesi huisha. Maji hupungua na hatimaye kurudi.
 
Basi wasichimbe tutachimba wenyewe tukishakuwa na pesa
 
Huja yako ni ya kijinga sana muhalifu anaangalia volunarable source za kuweza kuhujum sio rahisi aifikie mitambo ya gesi
Maji ndio vulnerable? wakati impact yake itakua ndogo mradi wa kinyerezi utakapofika full capacity?

Hujuma huwa inapiga pale ambapo advantage ilipo, sasa mtu akushambulie kwenye 40% akuache kwenye 60% sasa hyo ni hujuma au utani?
 


Watu wanataka kupiga hela . Mtashangaa huko tunakokwenda maana watu walikabwa kabali sasa wameachiwa wanapumua kwenye hewa safi. Wanataka kuanza yale ya zamani ya kupiga hela
 
Zitto mwenye ekari zaidi ya kumi ufukweni, pale msimbati aliekua ameplan kujenga hotel na apartments anaachaje kupigania gesi ile ili viwanja vyake visife bure
 
Kua na mchanganyiko wa vyanzo vya umeme ama productions mix ni jambo jema sana na ni mpango wa serikali kua na mix ya hydro, gas, fuel, gei thermal nk, hilo halina shida.

Shida ni kina Zitto kulazimisha ionekane kwamba maji ama hydro ni mambo yaliyopitwa na wakati, hakuna kitu kama hicho.

Hao mabwana zao wenyewe bado wanajenga hydro, kwani wao hawajui kua hydro project zimepitwa na wakati?

Ges iwepo kama back up na pale kwenye shida ila maji bado ni gharama nafuu sana.
 
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.

Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.

Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.

Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.

Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.

P
 
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia.
P
 

haujamwelewa mjenga hoja wewe zitto bandia

hizo gharama za kudrilll wala hajasema, umebadili swali bazazi weee

hoja ni umeme wa maji ni nafuu, na ulichoandika wewe ni kuthibitisha umeme wa gas ni gharama!!! sawa na mtoa hoja
 
layman thinking!!!
 
Naomba kujazia kwenye makaa. Ruvuma daily wanaanzisha machimbo mapya. Daily morethan 300 semitreller zinasafirisha kuwaletea huko wakubwa mzalishie viwandani. Waliahidi kuzalisha megawatt 400+. Baadae wakasema gharama ni kubwa kuliko kuwaletea umeme wa grid ya Taifa. So grid imefika hd Ngaka huko kwenye machimbo ya awali. Hayo makaa wanasema miaka 400 ijayo yataendelea kuwepo yaani hatuweziyamaliza. Why wasitie msukumo huko?
Mimi binafsi siamini sana ktk uhakika wa umeme wa maji kutokana na mabdiliko ya tabia nchi.
 
Kwa kuwa serikali ni ileile, tuamini ilibeba yenyewe chini ya chama chetu pendwa - ccm. So hapa zito anapigwa tu lkn tunajua hiyo mikataba na mengineyo nani walifanya
 
haujamwelewa mjenga hoja wewe zitto bandia

hizo gharama za kudrilll wala hajasema, umebadili swali bazazi weee

hoja ni umeme wa maji ni nafuu, na ulichoandika wewe ni kuthibitisha umeme wa gas ni gharama!!! sawa na mtoa hoja
Nimemuelewa sana na ndio kosa mnafanya mnaangalia gharama tu kuliko ufanisi!! Mfano SGR tusijenge kisa ni gharama kuliko hzi conventional rail lines??

Tukisema tuangalie kipengele cha gharama pekee then kuna miradi kibao ingeshakwama coz ni costly kuliko iliyopo!! Ila mie nasema tuangalie ufanisi na reliability among other factors tusikariri gharama.
 
mpaka leo hii,hakuna mbadala wa umeme wa maji kwa bei rahisi,uhifadhi wa mazingira,renewable energy na tukijipanga vizuri maji ya kwenye bwawa yatakuwa na manufaa kwa jamii kwa maana ya kilimo cha umwagiliaji,uvuvi,n.k. politiki ni politiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…