Mkuu
Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.
Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.
Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.
Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.
Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.
P