The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, kama ulivyosema mwenyewe gas ni more expensive, reliable ila sustainability yake iko quetionable kwa sababu hiyo gesi sio renewable energy, tukianza kuitumia extensively and exclusively miaka 10 tu inaisha, halafu tunaenda wapi?Mkuu Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.
Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.
Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.
Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.
Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.
P
Nchi hii kila mtu aliyekwenye system,serikalini,mashirika ya umma,kwenye Siasa,wote ni wapigaji tu,ni Malaya wa kiuchumi,Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.
Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.
Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.
Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.
Harufu ya Ufisadi mradi wa umeme wa Kinyerezi II uliogharimu mabilioni ya Kitanzania
HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA. Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga. Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya...www.jamiiforums.com
Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.
Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.
Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.
Jambo lingine, ni.ewahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.
Canada's large hydro projects inch toward completion with bleak prospects
Two of the three large projects, years behind schedule and billions over budget, may finally reach commercial operation in 2021.www.spglobal.com
Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati?
Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
La msingi sana gesi ni fossil fuel, chafuzi kwa mazingira, kusema umeme wa maji umepitwa na wakati ni kukosa weledi na umakini katika kutetea jambo na ni hatari kwa mtu anayezingatia maslahi ya taifa na watu wakeKwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.
Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.
Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.
Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.
Harufu ya Ufisadi mradi wa umeme wa Kinyerezi II uliogharimu mabilioni ya Kitanzania
HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA. Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga. Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya...www.jamiiforums.com
Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.
Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.
Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.
Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.
Canada's large hydro projects inch toward completion with bleak prospects
Two of the three large projects, years behind schedule and billions over budget, may finally reach commercial operation in 2021.www.spglobal.com
Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati? Canada, Brazil, Paraguay, China, Ghana, Eithiopia, aindia na nchi kadha wa kadha wao hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable, mbona wao bado wanajenga hydro plants?
Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Ukipitia taarifa mbalimbali, JNHPP ni ndogo sana ukilinganisha na za wenzetu huko Duniani wakiwemo China na Brazil ambao in the last four years wameanza kuzalisha umeme mwingi sana.Asante kwa andiko lako zuri na analytical.
Umeme wa maji ndio best duniani kote na hauwezi kupitwa na wakati. Hao wananchi wanaoshadidia gesi ni mbumbumbu wanaoongozwa na chuki dhidi ya JPM na wakina Zitto ni makuwadi wa mafisadi. Kumtumia Zitto ni sehemu ya mkakati wa kulaghai watu kwa sababu wale wajinga watamwona Zitto kama mpinzani hivyo anachosema kina mantiki wakati siyo.
Fikiria katika mazingira haya ya kukosekana umeme bado waziri anaona kipaumbele ni kuwalipa wahindi US Dollar million 30 zaidi ya shilingi bilioni 70 kwa shughuli ya kitapeli.
Name | Country | River | Area flooded (km²) | Years of completion | ||
| Three Gorges Dam | China | Yangtze | 22,500 | 111.8 [6] | 1,084 | 2008/2012 |
| Xiluodu | China | Jinsha | 13,860[8] | 55.2 | 2014[9] | |
| Belo Monte | Brazil | Xingu | 11,233[10] | 39.5 | 441 | 2016-2019 |
| Guri | Venezuela | Caroní | 10,235 | 53.41 | 4,250 | 1978, 1986 |
| Wudongde | China | Jinsha | 10,200 | 39 | 2020-2021[11] | |
| Xiangjiaba | China | Jinsha | 6,448 | 30.7 | 95.6 | 2014[13] |
| Krasnoyarsk | Russia | Yenisei | 6,000 | 15 | 2,000 | 1967/1972 |
| Nuozhadu | China | Mekong | 5,850 | 23.9[15] | 320 | 2014[16] |
| Jinping-II | China | Yalong | 4,800 | 24.23 | 2014 | |
| Jirau | Brazil | Madeira | 3,750 | 19.1 | 258 | 2014/2016 |
| Santo Antonio | Brazil | Madeira | 3,580[22] | 21.2 | 490 | 2012/2016 |
| Goupitan Dam | China | Wu | 3,000[25] | 9.67 | 94 | 2009/2011 |
| Guanyinyan Dam | China | Jinsha | 3,000 | 13.62 | 2014/2016 | |
| Ludila | China | Jinsha | 2,160 | 9.96 | 2014[32] | |
| Aswan | Egypt | Nile | 2,100 | 11 | 5,250 | 1967/1970 |
| Baihetan Dam | China | Jinsha | 2,000[note 6] | 2021/? |
Hapa yule 'mtu wetu wa Msoga' hakwepi kabisa haya maafa aliyotuachia Tz. Ametuachia vilio vikubwa sana Tz na bila huruma na bado anajitahidi tena kulinda huu uhuni aliufanya kwa kupenyeza mtu wake ktk hii wizara nyeti.Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Usisahau pia ndiye muasisi wa ufisadi katika umeme; enzi za awamu ya pili akiwa waziri wa nishati ndiye aliyepitisha IPTL kwa mkataba wa miaka ishirini, alipokalia kiti akaleta Richmond kwa kushirikiana na swahiba wake kisha fedha za escrow zikapigwa huku tukizugwa kuwa siyo za umma, na sasa anaturudisha kule kule kwa IPTL . Unaona mpira unavyochezwa!Hapa yule 'mtu wetu wa Msoga' hakwepi kabisa haya maafa aliyotuachia Tz. Ametuachia vilio vikubwa sana Tz na bila huruma na bado anajitahidi tena kulinda huu uhuni aliufanya kwa kupenyeza mtu wake ktk hii wizara nyeti.
Ndugu kabla hatujaangalia option zilizopo, ungezumzia upatikanaji wa hizo resources. Sasa hayo maji yenyewe yako wapi? Mbona rahisi sana kusema? Tutumie maji ya Bahari ya Hindi au Ziwa Victoria?Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.
Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.
Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.
Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.
Harufu ya Ufisadi mradi wa umeme wa Kinyerezi II uliogharimu mabilioni ya Kitanzania
HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA. Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga. Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya...www.jamiiforums.com
Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.
Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.
Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.
Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.
Canada's large hydro projects inch toward completion with bleak prospects
Two of the three large projects, years behind schedule and billions over budget, may finally reach commercial operation in 2021.www.spglobal.com
Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati? Canada, Brazil, Paraguay, China, Ghana, Eithiopia, aindia na nchi kadha wa kadha wao hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable, mbona wao bado wanajenga hydro plants?
Angalia hapa, China anajenga Baihetan Hydro Power project yenye megawati 16,000 ambayo itakua ndio plant ya pili kwa ukubwa China, bado haijakamilika, je China hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity wajikite kwenye gesi?
Baihetan Hydropower Project, China - World's second biggest power plant
Baihetan hydropower project is a 16GW hydroelectric facility under construction on the Jinsha River, in south-west China.www.nsenergybusiness.com
Bado china ana mpango wa kujenga hydro project kubwa kuliko zote Duniani ya kutoka Megawati laki 6
China unveils plan for world's largest hydropower project
China has released official plans to construct a major hydropower project on the Brahmaputra river in Tibet.constructionreviewonline.com
Hii Red Rock Hydro Power inayojengwa Iowa Marekani, Je marekani hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity?
Renewable Energy Projects: Planning & Financing
Explore renewable energy project development, including planning, financing, and construction of renewables, hydropower, and grid infrastructure projects.www.hydroreview.com
Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Nashukuru kwa shule hii hili la kusema gas imeuzwa nili sikia 2014 kwa raia wa kigeniKwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Kuna watanzania wanajifanya wajanja na waelewa na kuwazidi hao walioanzisha mambo hayo,Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Zitto Kabwe project Work!
Endeleeni kudanganya wajinga.ila
Tunaomba kamati ya bunge ya nishati na viwanda vyanzo vya maji na mabwawa yote yenye mitambo ya kuzalisha umeme wa hydroelectric ili kutuwakilisha wananchi tujiridhishe kama kweli mabwawa yamekauka.
Sababu kila kiongozi mwandamizi amekuja na kauli tofauti kuhusiana na sakata hili la mgao wa umeme na hivyo kupelekea sisi wananchi kushindwa kujua nani ndio msemakweli.
Alitaka kubalance stori.Zitto ni dalali kweli ila Lema na heche nakataa,
Walikabwa na nani? Au huyo aliyewakaba ndio kakuhadithia?Watu wanataka kupiga hela . Mtashangaa huko tunakokwenda maana watu walikabwa kabali sasa wameachiwa wanapumua kwenye hewa safi. Wanataka kuanza yale ya zamani ya kupiga hela
Mkuu huko kwenu hakuna jua kali kama ninalokutana nalo huku nilipo?Zitto Kabwe project Work!
Endeleeni kudanganya wajinga.ila
Tunaomba kamati ya bunge ya nishati na viwanda vyanzo vya maji na mabwawa yote yenye mitambo ya kuzalisha umeme wa hydroelectric ili kutuwakilisha wananchi tujiridhishe kama kweli mabwawa yamekauka.
Sababu kila kiongozi mwandamizi amekuja na kauli tofauti kuhusiana na sakata hili la mgao wa umeme na hivyo kupelekea sisi wananchi kushindwa kujua nani ndio msemakweli.
Makampuni wanaiuzia gesi Tanesco kwa Bei ya juu, serikali haina kisima chochote Cha gesi. Tukisema tutegemee gesi, tafsiri yake tutegemee hayo makampuni na Bei watajipangia.Amna alie uza gas... Ni kama tu ambavo tumeingia mikataba na makampuni kama Accasia na mengne kibao ya wazungu yanayochimba dhahabu na madini mengine.. Yeye anaweka capital, wewe unachukua chako naye anafanya biashara...