emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,777
- 1,719
Visima vya gas havijaisha ni serikali tu kutenga budget nakuwekeze ili ifue yenyewe umeme wa gas kama inaweza thus allMakampuni wanaiuzia gesi Tanesco kwa Bei ya juu, serikali haina kisima chochote Cha gesi. Tukisema tutegemee gesi, tafsiri yake tutegemee hayo makampuni na Bei watajipangia.
Solution ni kuwa na vyanzo mbadala
Gharama ya kufanya hivyo ni kubwa. Lakini pia kumbuka hayo makampuni yenye gesi ndio yana mkono mrefu ambao ndio kelele hizi unasikia Leo kuwa tuachane na umeme wa majiVisima vya gas havijaisha ni serikali tu kutenga budget nakuwekeze ili ifue yenyewe umeme wa gas kama inaweza thus all
Alafu ndio anasemaga Uhuru wa watu kutoa maoni?Sasa Zitto anaweka hoja yake Instagram lakini anaondoa comments ili watu wasimcrash hoja yake ya gesi asilia.
Hawa ndio wapinzani tulionao, wanaotaka wasikilizwe wao tu ila hawataki mawazo yanayoenda kinyume na msimamo wao walioelekezwa wausimamie na hao wanaowatuma.
Mtu anaweka hoja halafu hataki watu wajadili, halafu watu kama hawa ndio nchi tuwategemee, si bora hata ccm basi.
View attachment 2017437
Tusubiri kwanza umeme wa bwawa la nyerere uwake kwanza ndo tuje na ngonjela zetu hapa, .....mbona Uganda na Ethiopia wanategemea umeme wa maji tu na Bado ni reliable, cheap, cost effective, and with surplus production. Je uliwai sikia maji ya mto rufiji yamekauka mpaka uwe na hofu juu ya bwawa la nyerere kuwa sio reliable??.........................ajabu kabisa ni pale unapolinganisha reliability ya umeme wa maji na umeme wa upepo....duh! Hii uitaji kuwa na Cheti mkuu.Mkuu Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.
Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.
Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.
Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.
Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.
P