Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani, kutwa kujaza guest...matokeo yake ndo haya sasa...
Sasa hao wake wanatoshelezwa na nani? Kama na wao wanatoka nje ya ndoa huoni kuwa nao ni wa kulaumiwa kama wanavyolaumiwa wanaume?