Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Apr 10, 2009 #21 Penny said: Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani, kutwa kujaza guest...matokeo yake ndo haya sasa... Click to expand... Sasa hao wake wanatoshelezwa na nani? Kama na wao wanatoka nje ya ndoa huoni kuwa nao ni wa kulaumiwa kama wanavyolaumiwa wanaume?
Penny said: Lakini mimi ninavyoona haya yote yanasababishwa na hao kina baba...hawawatoshelezi wake zao ndani, kutwa kujaza guest...matokeo yake ndo haya sasa... Click to expand... Sasa hao wake wanatoshelezwa na nani? Kama na wao wanatoka nje ya ndoa huoni kuwa nao ni wa kulaumiwa kama wanavyolaumiwa wanaume?
Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Apr 10, 2009 #22 vijana tulivyokuwa buze hivi siku hizi ndoa nyingi zitatushinda
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Apr 10, 2009 #23 tatizo sio la muda mfupi na uhakika itafikia kipindi cha m2 kuoana na dadake au mtoto kumpitia mama yake wa kambo. ni balaa
tatizo sio la muda mfupi na uhakika itafikia kipindi cha m2 kuoana na dadake au mtoto kumpitia mama yake wa kambo. ni balaa