Udereva wa gari za IT

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello wana Jamvi, naomba mwenye UELEWA wa namna MTU anaweza kupata KAZI ya udereva wa gari za IT; Dar-malawi au DAR-ZAMBIA/TNDM/CONGO; GARI ndogo na za wastani; nina leseni valid; nina muda wa kufanya hizo kazi; naishi mbeya mjini;nina uzoefu wa driving long safaris kwa mda wa miaka 7; gari za manual na automatic; mwelevu; lugha mbilio kwa ufasaha English na Kiswahili; mwaminifu na niko focused kwenye malengo ya tajiri (kujitahidi gari za mwenye mali zinafika salama). Tafadhari kwa mwenye idea nifanyeje.
NAOMBA pm please.
 
tafuta kampuni ya 'clearing & forwarding'.
Jamaap
Teddy Junior Limited
TRA-List of C&F Agents
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…