joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udhaifu hapo ni gani??View attachment 2405411
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
Acha nyege weweView attachment 2405411
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
Huoni kwamba kitendo cha Alshabaab kuingia na kufanya vitendo vya kuteka watu Kenya ni ishara ya udhahifu wa KDF kushindwa kulinda mipaka ya Kenya?. Sasa imefikia wanateka Hadi ambulancesUdhaifu hapo ni gani??
Tunaita eti 'huo ndio ukarimu wa kiafrica'.yaleyale, kumpikia mgeni, wewe ukishinda na njaa
kwani hao Alshaabab wanatokea inje ya Kenya pekee???Huoni kwamba kitendo cha Alshabaab kuingia na kufanya vitendo vya kuteka watu Kenya ni ishara ya udhahifu wa KDF kushindwa kulinda mipaka ya Kenya?. Sasa imefikia wanateka Hadi ambulances
Sasa hili ni swali gani?, Wacha kupoteza muda bila sababu, hao Alshabaab wanaoingia na silaha huko Mandera na kufanya fujo na kutorokea Somalia, 95% wanatokea Somaliakwani hao Alshaabab wanatokea inje ya Kenya pekee???
mpakani huezi jua wasomali wa Kenya na wasomali wa somalia sababu wote hawana IDs👌Sasa hili ni swali gani?, Wacha kupoteza muda bila sababu, hao Alshabaab wanaoingia na silaha huko Mandera na kufanya fujo na kutorokea Somalia, 95% wanatokea Somalia
Kwahiyo hiyo hao wanaokuja na silaha na nguo za kijeshi na kuvamia vijiji na hata vituo vya polisi na kurudi Somalia, ni jukumu la nani kuweza kuwazuia?.mpakani huezi jua wasomali wa Kenya na wasomali wa somalia sababu wote hawana IDs[emoji108]
Na pia ni watu wapastoralism kuhamahama na mifugo,Mara wanaenda somalia,Mara Kenya,Mara Sudan,Mara Ethiopia[emoji108]na huwezi kuwakataza wasikulaumishe kifo Cha mifugo yao[emoji108]
Na hapo hutajua miaalshaabab Kama imejifichia wapi??kumbuka tunashare border kubwa nao[emoji108]na tuna population kubwa ya wasomali Wakenya[emoji108]
Alshaabab wako anywhere,so hauwezi jua wapi watashambulia[emoji108]so wacha kusema KDF ni dhaifu haujui ndio tuwe na amani wanapitianga mangapi WWE[emoji108]
KDF[emoji1139][emoji123]
We jamaa ficha ujinga wakompakani huezi jua wasomali wa Kenya na wasomali wa somalia sababu wote hawana IDs[emoji108]
Na pia ni watu wapastoralism kuhamahama na mifugo,Mara wanaenda somalia,Mara Kenya,Mara Sudan,Mara Ethiopia[emoji108]na huwezi kuwakataza wasikulaumishe kifo Cha mifugo yao[emoji108]
Na hapo hutajua miaalshaabab Kama imejifichia wapi??kumbuka tunashare border kubwa nao[emoji108]na tuna population kubwa ya wasomali Wakenya[emoji108]
Alshaabab wako anywhere,so hauwezi jua wapi watashambulia[emoji108]so wacha kusema KDF ni dhaifu haujui ndio tuwe na amani wanapitianga mangapi WWE[emoji108]
KDF[emoji1139][emoji123]
Nikuulize swali wwe!😂Kwahiyo hiyo hao wanaokuja na silaha na nguo za kijeshi na kuvamia vijiji na hata vituo vya polisi na kurudi Somalia, ni jukumu la nani kuweza kuwazuia?.
Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokubali madhahifu yenu. Vyombo vyenu vya ulinzi na usalama vina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao, There is no excuse for that.
Hivi Kama na sisi tungetoa hizo sababu kwamba wale magaidi Kule kaskazini mwa Msumbiji sio rahisi kuwatofautisha kati ya wamakonde wa Msumbiji na wamakonde wa Tanzania, Hadi Leo wangekuwa wanaendelea kuvamia Tanzania na kukimbilia Msumbiji
Ni jukumu la KDF kujipanga na kuhakikisha kwamba hakuna adui wa ndani au nje ambaye anaweza kufanya uhalifu kwa kuvuka mipaka ya nchi, haya maneno ya kusema kwamba huwezi jua kwamba ni wasomali wa Kenya au Somalia, huo ndio udhahifu wa KDF.
Kwa ukweli KDF ni dhahifu Sana, Kama hata wao wenyewe ndani ya Somalia Kambi zao mara kwa mara zilikuwa zikishambuliwa na Alshabaab, ni ishara tosha kwamba"KDF has very poor military intelligence"
nakuambia ukweli hawakuaga na IDs za Kenya👌Ila siku hizi wameajaribu wengine wao wako nazo,We jamaa ficha ujinga wako
Unasema wakenya wenye asili ya Somalia hawana Id's?
Wanaishije hapo bila vibali je wanahesabiwa namna gani?
Kweli unaandika upuuzi huu wote
Nendeni mkapambane nao acheni kuwaonea waliomo ndani ya nchi