eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Super power au super hunger of eac!?ππ na wanajiita superpower wa E/Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super power au super hunger of eac!?ππ na wanajiita superpower wa E/Africa.
View attachment 2405411
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
Kwa mfano wewe umeajiri walinzi kulinda nyumba yako, siku Moja majambazi wakawastukiza walinzi wako na kufanikiwa kuingia ndani kuiba na wakaua mtoto wako, baada ya mwaka mmoja wakarudi tena na kufanikiwa kuvunja na kuiba na kuua tena mtu, walinzi wako wakakupa sababu kwamba wanashindwa kutofautisha kati ya jambazi na raia wema.Nikuulize swali wwe![emoji23]
Ile siku magaidi waliingia Tanzania kusini,kutoka Mozambique na wakachoma vijiji???
Hio pia unataka kumaanisha eti Jeshi la Tanzania[emoji1241] ni dhaifu???
Kwangu mie naona walifanya timing[emoji108]
alaf ujue Border ya Kenya na Somalia ni refu wanaweza ingilia mahali popote[emoji108]ebu jiulize hivi ingekuwa Kenya ni Nchi ya Alshaabab??mngetuzuia aje kuingia TZ???we share a big border!
Kwa mfano wewe umeajiri walinzi kulinda nyumba yako, siku Moja majambazi wakawastikiza walinzi wako na kufanikiwa kuingia ndani kuiba na wakaua mtoto wako, baada ya mwaka mmoja wakarudi tena na kufanikiwa kuvunja na kuiba na kuua tena mtu, walinzi wako wakakupa sababu kwamba wanashindwa kutofautisha kati ya jambazi na raia wema.
Mara ya tati wakarudi tena na kufanikiwa kuvunja nyumba na kuiba, majibu ya walinzi wako ni yaleyale kwamba wanashindwa kutofautisha kati ya majambazi na raia wema,[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania walivamia mara Moja, tukajiuliza wapi tulikosea na tukaweka mikakati ya kuwadhibiti, hawajarudi tena.
Osama alifanikiwa kuwapiga wamarekani mara Moja, wakajiuliza wapi walikosea, wakaweka mikakati na hilo tukio halijatokea tena.
Udhahifu wa KDF ni kwamba, hawajiulizi na kuja na mikakati ya kuwadhibiti Alshabaab isiweze kuvuka mipaka kuingia Kenya, wacha sababu za kipuuzi kwamba mpaka wa Somalia na Kenya ni mkubwa, Jukumu la jeshi lolote ni kulinda mipaka ya nchi nzima, iwe mifupi au mirefu, Sasa kwasababu mipaka ni mirefu ndio iwe sababu ya KDF kulinda nchi?, Huko ndio kushindwa kwenyewe kwa KDF. Muwaulize uwezo wao wa kulinda mipaka ni urefu wa kilometa ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
munashare border na Somalia???mna bahati nyie hamuwezi kuelewaπAlshaabab yemeni is not a joke!! Wamejitolea mhanga liwe liwalo!na wanafanyaga timing na wanashirikianaga na wale wa ndani ya Kenya!!and they are trainned with Arab countries like Yemen,Syria,Afghan,Iran,SaudiKwa mfano wewe umeajiri walinzi kulinda nyumba yako, siku Moja majambazi wakawastikiza walinzi wako na kufanikiwa kuingia ndani kuiba na wakaua mtoto wako, baada ya mwaka mmoja wakarudi tena na kufanikiwa kuvunja na kuiba na kuua tena mtu, walinzi wako wakakupa sababu kwamba wanashindwa kutofautisha kati ya jambazi na raia wema.
Mara ya tati wakarudi tena na kufanikiwa kuvunja nyumba na kuiba, majibu ya walinzi wako ni yaleyale kwamba wanashindwa kutofautisha kati ya majambazi na raia wema,[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania walivamia mara Moja, tukajiuliza wapi tulikosea na tukaweka mikakati ya kuwadhibiti, hawajarudi tena.
Osama alifanikiwa kuwapiga wamarekani mara Moja, wakajiuliza wapi walikosea, wakaweka mikakati na hilo tukio halijatokea tena.
Udhahifu wa KDF ni kwamba, hawajiulizi na kuja na mikakati ya kuwadhibiti Alshabaab isiweze kuvuka mipaka kuingia Kenya, wacha sababu za kipuuzi kwamba mpaka wa Somalia na Kenya ni mkubwa, Jukumu la jeshi lolote ni kulinda mipaka ya nchi nzima, iwe mifupi au mirefu, Sasa kwasababu mipaka ni mirefu ndio iwe sababu ya KDF kulinda nchi?, Huko ndio kushindwa kwenyewe kwa KDF. Muwaulize uwezo wao wa kulinda mipaka ni urefu wa kilometa ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukideclare war na Somalia yote, utapigwa kama Abunuwasi, kwa maana hata hao ethnic Somali na Rendille wa hapo Kenya watakugeuka, na Jeshi la KDF limejaa Wasomali watakuwa usiku wanakurushia maguruneti kwenye kambi.au tuvamie Somalia
Hata Waziri wa ulinzi wa Kenya wa sa hivi si Ni msomali?Ukideclare war na Somalia yote utapigwa kama Abunuwasi kwa maana hata hao ethnic Somali na Rendille wa hapo Kenya watakugeuka na Jeshi la KDF limejaa Wasomali watakuwa usiku wanakurushia maguruneti kwenye kambi.
Msije mnakimbia tu mpaka Arusha.π€£
Sasa Banyamulenge wakikutana na Wasomali si wataungana dhidi ya Wajaluo na Wakongomani?Hata Waziri wa ulinzi wa Kenya wa sa hivi si Ni msomali?
hao wote tunaweza wafurusha mpaka kwao!!!πUkideclare war na Somalia yote, utapigwa kama Abunuwasi, kwa maana hata hao ethnic Somali na Rendille wa hapo Kenya watakugeuka, na Jeshi la KDF limejaa Wasomali watakuwa usiku wanakurushia maguruneti kwenye kambi.
Msije mnakimbia tu mpaka Arusha.π€£
Tuwafangulia Kambi hapo Longido tuwape mafunzo ya kijeshi bila ya ukabila.
Miaka yote UK imekuwa na Makambi Nanyuki ili kuwalinda Wakenya wa Central dhidi ya Wasomali na hata tunasikiaga Wazungu hao wakibaka Dada zenu.Lakini kilichobakia ni mpakani wetu na Somalia wanaingia wanayotaka kuharass peacefull citizens that aren't armedπ³
Ngoja siku kitanuka walai miaalshaabab itakipata!!!!!they will do there worst and we will make em pay with blood!!
Nikuulize unamaanisha tukimvamia wasomali tutapigwa na wazungu???π€ama sjakushika vizuriMiaka yote UK imekuwa na Makambi Nanyuki ili kuwalinda Wakenya wa Central dhidi ya Wasomali na hata tunasikiaga Wazungu hao wakibaka Dada zenu.
Na mumewajaza kwa Jeshi lenu,siku mukianza matata nao wanajua madhaifu yenu.
Kwahiyo mumeshindwa kulinda mipaka ya nchi yenu?, Jukumu la kwanza la serikali yoyote duniani ni kulinda mipaka kuhakikisha usalama wa nchi na raia wake, hasa kutoka kwa adui toka nje ya nchi, Jeshi au serikali yoyote itakayoshindwa ni "failed state"munashare border na Somalia???mna bahati nyie hamuwezi kuelewa[emoji108]Alshaabab yemeni is not a joke!! Wamejitolea mhanga liwe liwalo!na wanafanyaga timing na wanashirikianaga na wale wa ndani ya Kenya!!and they are trainned with Arab countries like Yemen,Syria,Afghan,Iran,Saudi
Wwe binafsi ungetaka KDF ifanye aje vingine??au tuvamie Somalia??ukiona juzi tulipotaka kuvamia Somalia kwasababu walitaka kutuibia border Nani alikuja to their resque,Waarabu walimtuma Turkey na madrones[emoji108]
Acha nyege wewe
Watanzania wengi wanajua labda al shabaab ni jeshi. Hao ni RAIA ambao ni vigumu kumjua RAIA mwema na al shabaab.mpakani huezi jua wasomali wa Kenya na wasomali wa somalia sababu wote hawana IDsπ
Na pia ni watu wapastoralism kuhamahama na mifugo,Mara wanaenda somalia,Mara Kenya,Mara Sudan,Mara Ethiopiaπna huwezi kuwakataza wasikulaumishe kifo Cha mifugo yaoπ
Na hapo hutajua miaalshaabab Kama imejifichia wapi??kumbuka tunashare border kubwa naoπna tuna population kubwa ya wasomali Wakenyaπ
Alshaabab wako anywhere,so hauwezi jua wapi watashambuliaπso wacha kusema KDF ni dhaifu haujui ndio tuwe na amani wanapitianga mangapi WWEπ
KDFπ°πͺπͺ
π―β atleast one have got it rightπJah BlessWatanzania wengi wanajua labda al shabaab ni jeshi. Hao ni RAIA ambao ni vigumu kumjua RAIA mwema na al shabaab.
Pia hushambulia kwa kuvizia. Ndio maana hata tukio LA westgate mall magaidi wengi waliokolewa kama RAIA mateka....
Kwenye issue ya DRC lazima KDF waende kama maagano ya nchi wanachama wa EAC lakini pia kwenda kuyalinda mashamba ya mahindi ya Bwana Ruto.
View attachment 2405411
My Take: Sasa kama wameshindwa kulinda amani nchini kwao, huko DRC wanaenda kufanya nini? Haya ni maajabu ya Dunia. [emoji13]
joto la jiwe pata elimu kilaza, kumbe wewe peke yako ni boya π π π π π π π π π πWatanzania wengi wanajua labda al shabaab ni jeshi. Hao ni RAIA ambao ni vigumu kumjua RAIA mwema na al shabaab.
Pia hushambulia kwa kuvizia. Ndio maana hata tukio LA westgate mall magaidi wengi waliokolewa kama RAIA mateka....
Kwenye issue ya DRC lazima KDF waende kama maagano ya nchi wanachama wa EAC lakini pia kwenda kuyalinda mashamba ya mahindi ya Bwana Ruto.
KDF waliokwenda DRC kupambana na M23 wamekimbia[emoji23][emoji23][emoji23]joto la jiwe pata elimu kilaza, kumbe wewe peke yako ni boya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]