Acha kumfananisha Diamond na vitu vya kijinga
Hahaha ugomvi huoTatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.
Watajulia wapi achana nao wanapoteza muda tu humu na mambo ya watuPesa aliyopata kiba shows mbili za kenya Plus MTV ukoo wenu wote amjaingiza mwaka wote 2016 na mwaka ndio unaisha hivyo
Ndo tuambie kivip kapiga pesa kumshinda [emoji146],kwa mfano show 2 za mwisho alizofanya [emoji146] Kenya tu apo kapiga zaidi ya million mia za tz note hii show 2 tu,na sielewi jamaa kapiga show ngapi huu mwaka kasaini dili ngap,kapiga collabo ngapi,sitaki kujuavanessa Mdee
hili jina linanyumbulika kweli. kibamia, kibatari, kibanda, kibanio, kibao, kibarua, kibaki etcTatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.
Utamtajaje diamond bila kiba habari yako ataisoma nani,wanamkubali [emoji146] ndo mana anatajwa sana kwenye newz za diamondMtoa post anakubaki afu anakataa,unasema wanawakilsha wote kimataifa halafu unarudi kinafiki sijui imeenda imerudi ,ukiona mtu anazngumziwa hivo ujue huyo ana nafas ,mbona hukumtaj Shetta umemtaj Kiba,
kaka kibaka show hizi ndio za kwanza kwake so lazima atangaze dau,V money anapiga show Nigeria zaidi hizo za kibaba nyingi tu na ni star ndani ya Africa sio kama huyo Kibaba wa east afrika tuNdo tuambie kivip kapiga pesa kumshinda [emoji146],kwa mfano show 2 za mwisho alizofanya [emoji146] Kenya tu apo kapiga zaidi ya million mia za tz note hii show 2 tu,na sielewi jamaa kapiga show ngapi huu mwaka kasaini dili ngap,kapiga collabo ngapi,sitaki kujua
Taja dau wewe acha ubabaishaji mtu alipwe dola 3000 awatangazie mumcheke nyie wabongo mna mana nuke,si walikuwa wote Kenya juzi apa mbon kiba kalipwa nyingi kuliko vanesa,vitu vya ubabaishaji watu hawatangazagi na ndo mana hujui izo Show analipwaga sh ngapikaka kibaka show hizi ndio za kwanza kwake so lazima atangaze dau,V money anapiga show Nigeria zaidi hizo za kibaba nyingi tu na ni star ndani ya Africa sio kama huyo Kibaba wa east afrika tu
Na huwa nachukia sana kumlinganisha mond na vitu vya kijingaUtamtajaje diamond bila kiba habari yako ataisoma nani,wanamkubali [emoji146] ndo mana anatajwa sana kwenye newz za diamond
Sijawai ona diamond na chege wala sheta
According to source kiba na Vanessa wote walikula 2M ksh so wote level mojaTaja dau wewe acha ubabaishaji mtu alipwe dola 3000 awatangazie mumcheke nyie wabongo mna mana nuke,si walikuwa wote Kenya juzi apa mbon kiba kalipwa nyingi kuliko vanesa,vitu vya ubabaishaji watu hawatangazagi na ndo mana hujui izo Show analipwaga sh ngapi
Toa iyo sourceAccording to source kiba na Vanessa wote walikula 2M ksh so wote level moja
Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata kwa wasanii wengine watakapofikia level zao.
Leo nazungumzia utofauti mkubwa wa wasanii hawa wawili ambao mimi kama #KİJANAMZALENDO nimeuona, Alikiba anaimba vizuri kuliko Diamond lakini kupitia kigezo cha kuimba pekee hakiwezi kumfanya kuwa Msanii mzuri kuliko wengine but kuna mambo mbalimbali ambayo msanii yeyote anapaswa kuyafanya ili awe bora zaidi kuliko wenzake.
1 Alikiba amekuwa akiamini yeye binafsi anaweza kufika international bila kufanya kazi na wasanii wa nje ya nchi Jambo ambalo Si la kweli ili Msanii yeyote uweze kufanikiwa kimataifa lazima ufanye Collabo na wasanii wa level hiyo mfano Wizkid sasa Dunia inamjua kupitia Drake, Davido dunia inamfahamu kupitia Meek Mill,
2 kufanya media tour na Show za kimataifa; Miongoni mwa mambo ambayo Alikiba yanamfanya awe tofauti na Diamond, Alikiba hafanyi media tour za nje anafanya za ndani tu Ndani kila mtu anaufahamu uwezo wake so tunataka aupeleke nje ya Tz pia aanze kufanya matamasha ya kimataifa haiwezekani msanii unataka kwenda kimataifa halafu kwa mwaka Unaperfom Majukwaa matatu tu.
3 Kupunguza Collabo na wasanii wa kawaida; kitu kingine ambacho Kiba anapaswa kukizingatia ni kupunguza Collabo haşa wa wasanii wa kawaida ambao wanataka kupata jina kupitia yeye simaanishi kwamba asikuze vipajj lakini anaweza kuwasaidia kwa kuwasaini kwenye Lebo yake ili bado awe na nguvu ya kuwasapoti.
4 Kuongeza Timu ya washauri: Kingine Kiba anapaswa kuongeza idadi ya watu anaofanya nao kazi ambao ni official lakini hata kuwafanya nao wawe mastaa ili popote wanapofanya interview nado yeye atajwe mfano Alichofanya DİAMOND amembrand DESİGNER, DANCERS ,MAMA, MTOTO, DADA kote huko bado jina lake linatrend
[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
Ila ashukuru na yeye coz vitu ivyo vya kijinga vinampush sana mond so maisha ni mfano wa food chainNa huwa nachukia sana kumlinganisha mond na vitu vya kijinga
Vijana wa Diamond wote wanamzid KibaUnaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]