Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

1479384627110.jpg
HOE alishatoa hitimisho [emoji23]
 
tofauti nyingine nasibu anafanya biashara ya muziki ali anafurahisha- anafanya ridhaa
 
Pesa aliyopata kiba shows mbili za kenya Plus MTV ukoo wenu wote amjaingiza mwaka wote 2016 na mwaka ndio unaisha hivyo
Watajulia wapi achana nao wanapoteza muda tu humu na mambo ya watu
 
vanessa Mdee
Ndo tuambie kivip kapiga pesa kumshinda [emoji146],kwa mfano show 2 za mwisho alizofanya [emoji146] Kenya tu apo kapiga zaidi ya million mia za tz note hii show 2 tu,na sielewi jamaa kapiga show ngapi huu mwaka kasaini dili ngap,kapiga collabo ngapi,sitaki kujua
 
Mtoa post anakubaki afu anakataa,unasema wanawakilsha wote kimataifa halafu unarudi kinafiki sijui imeenda imerudi ,ukiona mtu anazngumziwa hivo ujue huyo ana nafas ,mbona hukumtaj Shetta umemtaj Kiba,
Utamtajaje diamond bila kiba habari yako ataisoma nani,wanamkubali [emoji146] ndo mana anatajwa sana kwenye newz za diamond
Sijawai ona diamond na chege wala sheta
 
Ndo tuambie kivip kapiga pesa kumshinda [emoji146],kwa mfano show 2 za mwisho alizofanya [emoji146] Kenya tu apo kapiga zaidi ya million mia za tz note hii show 2 tu,na sielewi jamaa kapiga show ngapi huu mwaka kasaini dili ngap,kapiga collabo ngapi,sitaki kujua
kaka kibaka show hizi ndio za kwanza kwake so lazima atangaze dau,V money anapiga show Nigeria zaidi hizo za kibaba nyingi tu na ni star ndani ya Africa sio kama huyo Kibaba wa east afrika tu
 
kaka kibaka show hizi ndio za kwanza kwake so lazima atangaze dau,V money anapiga show Nigeria zaidi hizo za kibaba nyingi tu na ni star ndani ya Africa sio kama huyo Kibaba wa east afrika tu
Taja dau wewe acha ubabaishaji mtu alipwe dola 3000 awatangazie mumcheke nyie wabongo mna mana nuke,si walikuwa wote Kenya juzi apa mbon kiba kalipwa nyingi kuliko vanesa,vitu vya ubabaishaji watu hawatangazagi na ndo mana hujui izo Show analipwaga sh ngapi
 
Utamtajaje diamond bila kiba habari yako ataisoma nani,wanamkubali [emoji146] ndo mana anatajwa sana kwenye newz za diamond
Sijawai ona diamond na chege wala sheta
Na huwa nachukia sana kumlinganisha mond na vitu vya kijinga
 
Taja dau wewe acha ubabaishaji mtu alipwe dola 3000 awatangazie mumcheke nyie wabongo mna mana nuke,si walikuwa wote Kenya juzi apa mbon kiba kalipwa nyingi kuliko vanesa,vitu vya ubabaishaji watu hawatangazagi na ndo mana hujui izo Show analipwaga sh ngapi
According to source kiba na Vanessa wote walikula 2M ksh so wote level moja
 
e48d58485bde91881bed4640667ae21d.jpg

Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata kwa wasanii wengine watakapofikia level zao.

Leo nazungumzia utofauti mkubwa wa wasanii hawa wawili ambao mimi kama #KİJANAMZALENDO nimeuona, Alikiba anaimba vizuri kuliko Diamond lakini kupitia kigezo cha kuimba pekee hakiwezi kumfanya kuwa Msanii mzuri kuliko wengine but kuna mambo mbalimbali ambayo msanii yeyote anapaswa kuyafanya ili awe bora zaidi kuliko wenzake.

1 Alikiba amekuwa akiamini yeye binafsi anaweza kufika international bila kufanya kazi na wasanii wa nje ya nchi Jambo ambalo Si la kweli ili Msanii yeyote uweze kufanikiwa kimataifa lazima ufanye Collabo na wasanii wa level hiyo mfano Wizkid sasa Dunia inamjua kupitia Drake, Davido dunia inamfahamu kupitia Meek Mill,

2 kufanya media tour na Show za kimataifa; Miongoni mwa mambo ambayo Alikiba yanamfanya awe tofauti na Diamond, Alikiba hafanyi media tour za nje anafanya za ndani tu Ndani kila mtu anaufahamu uwezo wake so tunataka aupeleke nje ya Tz pia aanze kufanya matamasha ya kimataifa haiwezekani msanii unataka kwenda kimataifa halafu kwa mwaka Unaperfom Majukwaa matatu tu.

3 Kupunguza Collabo na wasanii wa kawaida; kitu kingine ambacho Kiba anapaswa kukizingatia ni kupunguza Collabo haşa wa wasanii wa kawaida ambao wanataka kupata jina kupitia yeye simaanishi kwamba asikuze vipajj lakini anaweza kuwasaidia kwa kuwasaini kwenye Lebo yake ili bado awe na nguvu ya kuwasapoti.

4 Kuongeza Timu ya washauri: Kingine Kiba anapaswa kuongeza idadi ya watu anaofanya nao kazi ambao ni official lakini hata kuwafanya nao wawe mastaa ili popote wanapofanya interview nado yeye atajwe mfano Alichofanya DİAMOND amembrand DESİGNER, DANCERS ,MAMA, MTOTO, DADA kote huko bado jina lake linatrend

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]

5.Kiba ni mchafu haijipendi yani hajui kuvaa hawezi kuishi kistaa kitu ambacho kinamfanya aonekane wa kawaida wakati Diamond ni msafi Classic anajua kutupia na mashauzi ya kistaa staa yaazidi kumpa thamani......teh teh teh teh
 
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
Vijana wa Diamond wote wanamzid Kiba
 
Acheni kundanganya Kiba,Diamond ni Wakimataifa Kiba ni wamatopeni. Huo ndio ukweli.
 
Huyu Ali kiba nampa miaka miwili tuu... Akina Harmonize na Rayvany watakuwa juu yake. Wait the time w'll tell
 
Kingine amtongoze faiza fox awe demu wake atamsaidia maana yule dada akili sana aisee
 
Back
Top Bottom