Bila kusahau Kibakulihili jina linanyumbulika kweli. kibamia, kibatari, kibanda, kibanio, kibao, kibarua, kibaki etc
na kibakaBila kusahau Kibakuli
Kabisa yani..huwez kua serious kufananisha apaAcha kumfananisha Diamond na vitu vya kijinga
Teh teh .....Jamani mbona kiba anafanya sana collable na watu wa nje mfn MI kwenye aje na yule kaka wa kenya
mkuu usisahau kuwa uko mapumzikoni anako dai alikuepo alikua anatoa nyimbo na mdogo wake zina buma i.e kidela[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia
bogusUnaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
Well be answer to bogus mother fu*kerbogus
sijui umeandika madudu gan ebu ogea fact acha kupayuka ndugu sasa mambo ya mtto wa kariakoo yametoka wapkingine DAIMOND nowdays ni brand wakati kiba ni mtoto wa kariakoo !!apart from that kiba mziki ulishamshinda kitambo ndio maana aliashaacha so anataka kurudi kwa mgongo wa mtu mwingine cha mwisho kabisa clouds wanampa kiba show za mchangani na ujira mdogo ili ampiku dai music industry haiko hivyo kiba wanakunyonya
Naona meseji imekuingiasijui umeandika madudu gan ebu ogea fact acha kupayuka ndugu sasa mambo ya mtto wa kariakoo yametoka wap
huwa napenda mtu anae ongea kwa kupanga maneno sio kuropokaNaona meseji imekuingia
Acha kumfananisha Diamond na vitu vya kijinga
Tuwa achie wazungu hiki ki lugha...Alikiba apunguze kubana pua, his songs is the last thing i want to hear.