Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

Aongezee juhudi kumfikia diamond sio leo wala kesho. Team yake pekee hamtoshi na hilo mnalitambua.tunawaumiza na hizi comments zetu ila ndio ukweli wenyewe vumilieni tu
 
Diamond Yukii vizuri,na halazimishi in sawa na Lionel Messi na yule mwingine anaelazimisha Kule spain!
 
Angekuwa wa Kiba waEast Africa kama unavyosrma asingepga show Afrima 2016,kwani ulimuona Vanessa akipafomu Afrima japo unasema cjui anajulkana Nigeria,ukiwa mkweli unakuwa huru kuliko unafiki.
 
kumcompare Ali kimba na Diamond platnumz ni sawa na kukompare baiskeli ya swala (Ali kibwabwa) vs gari aina ya Mercedes Benz (diamond platinum)
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia
mkuu usisahau kuwa uko mapumzikoni anako dai alikuepo alikua anatoa nyimbo na mdogo wake zina buma i.e kidela
 
Ali Kiba ashindani na Diamond...siku nyingine elewa kabla ujaanza kufananisha Kifo na usingizi.
 
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
bogus
 
kingine DAIMOND nowdays ni brand wakati kiba ni mtoto wa kariakoo !!apart from that kiba mziki ulishamshinda kitambo ndio maana aliashaacha so anataka kurudi kwa mgongo wa mtu mwingine cha mwisho kabisa clouds wanampa kiba show za mchangani na ujira mdogo ili ampiku dai music industry haiko hivyo kiba wanakunyonya
sijui umeandika madudu gan ebu ogea fact acha kupayuka ndugu sasa mambo ya mtto wa kariakoo yametoka wap
 
Kingine ulichosahau ni kuwa asa iv kiba kila akikolabo na msanii wimbo ukitoka unakuwa na utam wa big g wiki tu ushatoka kwny mainstream e.g nisamehe, nitulize, averina, na hii kajiandae naona na yenyewe wanaitafutia attention lkn kwa mbaliii iv kama inapumulia machine mda syo mrefu tutaisahu.......akiona mambo yanapenda iv anaruhusiw kupumzika tena ata miaka sita cc mashabiki tupo tutamsubiri
 
Back
Top Bottom