Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
183
e48d58485bde91881bed4640667ae21d.jpg

Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata kwa wasanii wengine watakapofikia level zao.

Leo nazungumzia utofauti mkubwa wa wasanii hawa wawili ambao mimi kama #KİJANAMZALENDO nimeuona, Alikiba anaimba vizuri kuliko Diamond lakini kupitia kigezo cha kuimba pekee hakiwezi kumfanya kuwa Msanii mzuri kuliko wengine but kuna mambo mbalimbali ambayo msanii yeyote anapaswa kuyafanya ili awe bora zaidi kuliko wenzake.

1 Alikiba amekuwa akiamini yeye binafsi anaweza kufika international bila kufanya kazi na wasanii wa nje ya nchi Jambo ambalo Si la kweli ili Msanii yeyote uweze kufanikiwa kimataifa lazima ufanye Collabo na wasanii wa level hiyo mfano Wizkid sasa Dunia inamjua kupitia Drake, Davido dunia inamfahamu kupitia Meek Mill,

2 kufanya media tour na Show za kimataifa; Miongoni mwa mambo ambayo Alikiba yanamfanya awe tofauti na Diamond, Alikiba hafanyi media tour za nje anafanya za ndani tu Ndani kila mtu anaufahamu uwezo wake so tunataka aupeleke nje ya Tz pia aanze kufanya matamasha ya kimataifa haiwezekani msanii unataka kwenda kimataifa halafu kwa mwaka Unaperfom Majukwaa matatu tu.

3 Kupunguza Collabo na wasanii wa kawaida; kitu kingine ambacho Kiba anapaswa kukizingatia ni kupunguza Collabo haşa wa wasanii wa kawaida ambao wanataka kupata jina kupitia yeye simaanishi kwamba asikuze vipajj lakini anaweza kuwasaidia kwa kuwasaini kwenye Lebo yake ili bado awe na nguvu ya kuwasapoti.

4 Kuongeza Timu ya washauri: Kingine Kiba anapaswa kuongeza idadi ya watu anaofanya nao kazi ambao ni official lakini hata kuwafanya nao wawe mastaa ili popote wanapofanya interview nado yeye atajwe mfano Alichofanya DİAMOND amembrand DESİGNER, DANCERS ,MAMA, MTOTO, DADA kote huko bado jina lake linatrend

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
 
kingine DAIMOND nowdays ni brand wakati kiba ni mtoto wa kariakoo !!apart from that kiba mziki ulishamshinda kitambo ndio maana aliashaacha so anataka kurudi kwa mgongo wa mtu mwingine cha mwisho kabisa clouds wanampa kiba show za mchangani na ujira mdogo ili ampiku dai music industry haiko hivyo kiba wanakunyonya
 
Tatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.
 
kingine DAIMOND nowdays ni brand wakati kiba ni mtoto wa kariakoo !!apart from that kiba mziki ulishamshinda kitambo ndio maana aliashaacha so anataka kurudi kwa mgongo wa mtu mwingine cha mwisho kabisa clouds wanampa kiba show za mchangani na ujira mdogo ili ampiku dai music industry haiko hivyo kiba wanakunyonya
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Huyu mwingine shabiki wa shoga na anatokea ule mtaa wanavaa suruali zenye zeep kwa nyuma
 
Jamani mbona kiba anafanya sana collable na watu wa nje mfn MI kwenye aje na yule kaka wa kenya
 
Watu wanaridhika na wanachokipata haina haja ya kujitutumua,huu ni mziki wanaimba wapate visenti vya kumudu maisha yao na wala si kuimba wapate uzima wa milele au credit kwa Mungu..at ending the day both of them wana enjoy life ukilinganisha na sisi tunaosubiri uhakiki wa vyeti uishe ili tupate ajira...
 
Alikiba apunguze kubana pua, his songs is the last thing i want to hear.
 
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
Umevaa nguo ila kifikra uko uchi
 
Huyu mwingine shabiki wa shoga na anatokea ule mtaa wanavaa suruali zenye zeep kwa nyuma
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia
 
Ali Kiba sasa nae aiangalie social life yake na ajaribu kuji manage..
Apunguze kuzaa-zaa ovyo huku mitaani..
Ana watoto wengi kaa sisimizi bwana..!!
 
e48d58485bde91881bed4640667ae21d.jpg

Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata kwa wasanii wengine watakapofikia level zao.

Leo nazungumzia utofauti mkubwa wa wasanii hawa wawili ambao mimi kama #KİJANAMZALENDO nimeuona, Alikiba anaimba vizuri kuliko Diamond lakini kupitia kigezo cha kuimba pekee hakiwezi kumfanya kuwa Msanii mzuri kuliko wengine but kuna mambo mbalimbali ambayo msanii yeyote anapaswa kuyafanya ili awe bora zaidi kuliko wenzake.

1 Alikiba amekuwa akiamini yeye binafsi anaweza kufika international bila kufanya kazi na wasanii wa nje ya nchi Jambo ambalo Si la kweli ili Msanii yeyote uweze kufanikiwa kimataifa lazima ufanye Collabo na wasanii wa level hiyo mfano Wizkid sasa Dunia inamjua kupitia Drake, Davido dunia inamfahamu kupitia Meek Mill,

2 kufanya media tour na Show za kimataifa; Miongoni mwa mambo ambayo Alikiba yanamfanya awe tofauti na Diamond, Alikiba hafanyi media tour za nje anafanya za ndani tu Ndani kila mtu anaufahamu uwezo wake so tunataka aupeleke nje ya Tz pia aanze kufanya matamasha ya kimataifa haiwezekani msanii unataka kwenda kimataifa halafu kwa mwaka Unaperfom Majukwaa matatu tu.

3 Kupunguza Collabo na wasanii wa kawaida; kitu kingine ambacho Kiba anapaswa kukizingatia ni kupunguza Collabo haşa wa wasanii wa kawaida ambao wanataka kupata jina kupitia yeye simaanishi kwamba asikuze vipajj lakini anaweza kuwasaidia kwa kuwasaini kwenye Lebo yake ili bado awe na nguvu ya kuwasapoti.

4 Kuongeza Timu ya washauri: Kingine Kiba anapaswa kuongeza idadi ya watu anaofanya nao kazi ambao ni official lakini hata kuwafanya nao wawe mastaa ili popote wanapofanya interview nado yeye atajwe mfano Alichofanya DİAMOND amembrand DESİGNER, DANCERS ,MAMA, MTOTO, DADA kote huko bado jina lake linatrend

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
Umeshaambiwa huyu ni king wa bongofleva unataka kumpa majukumu asiyoyaweza,yeye anafaa kuongoza wakariakoo wenzake tuu,sio wa kimataifa,kiba for kibaka
 
Back
Top Bottom