Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
We Ndugu yetu hutumia kiungo gani kuongea?Tatizo midomo alafu vitendo zero
Mdomo
Nakuelewa sana.QUALITY.
QUALITY.
QUALITY.
QUALITY...........
WUALITY PLAYERS.
YANGA NA SIMBA HAZINA UWEZO WA KUSAJILI WACHEZAJI WENYE VIWANGO VIKUBWA WA KUSHINDANIA UBINGWA.
KABAJETI KETU KADOGO MNO.
Ndiyo maana niliwahi kuleta uzi nikisema inabidi kubadilisha mfumo wetu wa mpira toka katika msingi wake kabisa na hili linatakiwa kufanyika kwa kujenga mfumo mpya mmoja kama msingi wake. Sasa hivi tunaleta makocha kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaokuja na philosophy zao halafu wanakuta wachezaji wetu wana misingi mibovu. Nilisema wachezaji kama Kyombo hauwezi kuwabadilisha sasa hivi, umechelewa sana.Hilo tatizo sio Yanga tu. Ni timu zetu karibu ZOTE…!! Yaani imekuwa kama ni slogan ya TAIFA ZIMA.
Nakubaliana na wewe kabisa. Kwa kweli ni aibu kubwa ligi zetu kujaza wachezaji kutoka nchi zingine za Afrika. Vijana wenye vipaji tunawatelekeza wanaenda kuwa madereva bodaboda na wengine panya road halafu tunaenda kuwapa fursa wengine.Vipaji vimejaa tele TZ ndiyomaana wale Vijana chini ya umri wa miaka 17 na 21 wanaochezea timu za Taifa kama Serengeti Boys n.k huwa wanafika sana fainali za michuano ya kimataifa Africa, pia na timu ya Taifa ya kina Ke.
Shida ni kutokuwa na succession plans (mipango endelevu) ya soka zuri kwa kizazi cha baadaye au kutokuwa na fedha za uhakika na Viongozi wa nchi kutokuwa makini katika uwekezaji wa soka la leo na kesho TZ.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] duh!Tatizo ni kutawaliwa na CCM daima.
Siku CCM ikitolewa madarakani team zetu zitatoboa katika anga la kimataifa
Chunguza utakubaliana nami[emoji23][emoji23] duh!