Udhaifu niliogundua kwa timu zetu hasa kwenye michuano ya Kimataifa

Udhaifu niliogundua kwa timu zetu hasa kwenye michuano ya Kimataifa

QUALITY.
QUALITY.
QUALITY.
QUALITY...........

WUALITY PLAYERS.

YANGA NA SIMBA HAZINA UWEZO WA KUSAJILI WACHEZAJI WENYE VIWANGO VIKUBWA WA KUSHINDANIA UBINGWA.

KABAJETI KETU KADOGO MNO.
 
Hilo tatizo sio Yanga tu. Ni timu zetu karibu ZOTE…!! Yaani imekuwa kama ni slogan ya TAIFA ZIMA.
Ndiyo maana niliwahi kuleta uzi nikisema inabidi kubadilisha mfumo wetu wa mpira toka katika msingi wake kabisa na hili linatakiwa kufanyika kwa kujenga mfumo mpya mmoja kama msingi wake. Sasa hivi tunaleta makocha kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaokuja na philosophy zao halafu wanakuta wachezaji wetu wana misingi mibovu. Nilisema wachezaji kama Kyombo hauwezi kuwabadilisha sasa hivi, umechelewa sana.
 
Vipaji vimejaa tele TZ ndiyomaana wale Vijana chini ya umri wa miaka 17 na 21 wanaochezea timu za Taifa kama Serengeti Boys n.k huwa wanafika sana fainali za michuano ya kimataifa Africa, pia na timu ya Taifa ya kina Ke.

Shida ni kutokuwa na succession plans (mipango endelevu) ya soka zuri kwa kizazi cha baadaye au kutokuwa na fedha za uhakika na Viongozi wa nchi kutokuwa makini katika uwekezaji wa soka la leo na kesho TZ.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa. Kwa kweli ni aibu kubwa ligi zetu kujaza wachezaji kutoka nchi zingine za Afrika. Vijana wenye vipaji tunawatelekeza wanaenda kuwa madereva bodaboda na wengine panya road halafu tunaenda kuwapa fursa wengine.
 
Nimegundua wachangiaji wote humu mpira mnaujua kwa kuutizama tu ila hamuujui kiundani. Unapocheza ugenini ni tofauti na unapocheza nyumbani. Kwa kawaida mchezo hua una vipindi vinne ambavyo hugawanywa kimkakati.

Unapokua ugeninikwa kawaida dakika kumi na tano (15) hutumika kumsoma mpinzani ubora, kasi na ufundi lakini pia na madhaifu yake kwa ujumla. Kama wewe ni mpenzi wa ngumi (boxing) utagundua round ya kwanza mpk ya 3 mabondia hutumia kusomana ubora na udhaifu wa mpinzani ndio maana utaona muda mwingi hawashamuliani sana na wakishambuliana basi hua kwa taadhari sana.

Vivyo Hivyo na kwenye mpira wa miguu ipo hivyo. Ukianza tu kwa kushambulia utajikuja unakula tano za haraka haraka unakuja kustuka tayari hauna tena uwezo wa kupindua matokeo.

Ila ukiwa nyumbani dakika 15 za awali hutumika kutafuta goli la kuongoza mchezo. Kwahiyo utaona mikakati unapocheza ugenini na nyumbani kamwe haiwezi kufanana ndo maana utaona timu ikiwa ugenini hua wanaanza kwa kasi sana Ila wakiwa ugenini wanaanza kwa taratibu sana kwa kubaki nyuma.
 
Labda uwaongelee utopolo, simba hawana huo upuuzi
 
Back
Top Bottom