MchunguZI JF-Expert Member Joined Jun 14, 2008 Posts 4,011 Reaction score 2,185 Jul 21, 2021 #21 Zygot said: ................................ Kwa hili la Nchemba hadi atukane wa-TZ hivi, shida iko kwa rais. Yeye anaona kapata jembe la kisiasa, kumbe jembe linadeka. Click to expand... Hahaaa! JEMBE LA SAMIA LINADEKA!
Zygot said: ................................ Kwa hili la Nchemba hadi atukane wa-TZ hivi, shida iko kwa rais. Yeye anaona kapata jembe la kisiasa, kumbe jembe linadeka. Click to expand... Hahaaa! JEMBE LA SAMIA LINADEKA!
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 Jul 21, 2021 #22 mi nasubiri 2025,itakuwaje,maana hapa tutaona sarakasi kibao,Tena hapa mbona bado mwanzo Sana,2013 ndo tutaona vituko kibao.
mi nasubiri 2025,itakuwaje,maana hapa tutaona sarakasi kibao,Tena hapa mbona bado mwanzo Sana,2013 ndo tutaona vituko kibao.