Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Huw anawaza sana miaka ile nikisoma jinsi ambavyo wakoloni walikuja kututawala waafrika. jinsi ambavyo waarabu walikuja kutuchukua na wkenda kutufanya watumwa. najiuliza sana na sipati majibu. nawaza na kuwazua napata majibu inawezekana kwa kiasi kikubwa sana kiasili sisi waafrika ni dhaifu sana kwa wazungu. na waarabu pia.
ni ngumu jinsi ambavyo wazee wetu walikuw ana nguvu miaka ile walikuwa na uafrika hasa walikuja kutawaliwa na wazungu wachache na waraabu wachache pia kututawala na kutufanya watumwa. ukisoma na kuangalia zile picha unakuta waarabu watatu au wanne wana msafara wa mamia ya waafrika wanawapeleka utumwani.
ukiangalia picha unakuta waafrika mamia wamemzunguka mwarabu au mzungu ambaye amebebwa na ambabu zetu shababy mabegani mwao. unajiuliza tulikuwa tumerogwa? hawa watu walitufanya misukule yao? ukiacha sehemu chache chache ambzao tulijaribu kuasi kwa kiasi flan lakini badokwa sehemu kubwa tulitawaliwa. tukisem walikuja na dini then bado tulipaswa kuwaza na kuangalia uhalali wa maneno waliyokuwa wanatwambia na vitendo vyao.
asili ya udhaifu wetu kwa haawa watu mpaka hii leo ni nini? mpaka dunia hii ya leo mkitaka maisha yetu yawe magumu watu hawa waamue kututenga. tutakuwa na hali mbaya sana kiuchumi na kijamii kwa ujumla . sisi tunatatizo gan ?ni wapi tumekosea?