Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuachane na dini zao pekee? Kwani elimu uliyosoma ni ya Afrika au ni ya hao hao wazungu?siku waafrika mkiamua kuachana na dini pamoja na tamaduni zao ndo mtakuwa na akili
Hata hao walitawaliwa kama sisi na walibadilishana binadamu kama biadhaa na africa nadhani ndio tulikuwa wa mwisho kwenye hii biasharaKwanza tuachane na Dini zao pili Tamaduni zao, Tuwekama China,Japan,Korea. Tutumie lugha yetu ya Asili katika kufundishia watoto wetu.Tuache Akili ya Asili ifanye kazi yake. Ivi wingereza kuna somo la kiswahili darasani? Mahana kwetu kuna somo la English.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mkuumbona mkwawa na abushiri walikuwa waislam wakati wa mapambano yao,barua za mkwawa kwa abushiri ni za kiswahili kwa maandishi ya kiarabu
hujaelewa nini?Sijakuelewa mkuu
Huw anawaza sana miaka ile nikisoma jinsi ambavyo wakoloni walikuja kututawala waafrika. jinsi ambavyo waarabu walikuja kutuchukua na wkenda kutufanya watumwa. najiuliza sana na sipati majibu. nawaza na kuwazua napata majibu inawezekana kwa kiasi kikubwa sana kiasili sisi waafrika ni dhaifu sana kwa wazungu. na waarabu pia.
ni ngumu jinsi ambavyo wazee wetu walikuw ana nguvu miaka ile walikuwa na uafrika hasa walikuja kutawaliwa na wazungu wachache na waraabu wachache pia kututawala na kutufanya watumwa. ukisoma na kuangalia zile picha unakuta waarabu watatu au wanne wana msafara wa mamia ya waafrika wanawapeleka utumwani.
ukiangalia picha unakuta waafrika mamia wamemzunguka mwarabu au mzungu ambaye amebebwa na ambabu zetu shababy mabegani mwao. unajiuliza tulikuwa tumerogwa? hawa watu walitufanya misukule yao? ukiacha sehemu chache chache ambzao tulijaribu kuasi kwa kiasi flan lakini badokwa sehemu kubwa tulitawaliwa. tukisem walikuja na dini then bado tulipaswa kuwaza na kuangalia uhalali wa maneno waliyokuwa wanatwambia na vitendo vyao.
asili ya udhaifu wetu kwa haawa watu mpaka hii leo ni nini? mpaka dunia hii ya leo mkitaka maisha yetu yawe magumu watu hawa waamue kututenga. tutakuwa na hali mbaya sana kiuchumi na kijamii kwa ujumla . sisi tunatatizo gan ?ni wapi tumekosea?
Kukufuru ndo nini? Ndo ujinga wenyewe huu.mie nawaza kiimani ....mwenyezi mungu ana makusudi yake kwa kutofautisha madaraja ya utaifa na rangi za watu wake... maana ikitafakari sana daraja alilotuweka mwenyezi mungu sisi ngozi nyeusi kuanzia kufikiri mpaka kutenda kwa kujilinganisha na wenzetu weupe..unaweza ikakufuru...
mkuu hii kitu adimu sana duh?