Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya.
Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii taratibu zinazondoa heshima ya elimu ya juu kama vitenbdo hivi vya wabunge.
Hawa wanaojitangaza kupewa PhD ni wazazi je, watoto wao wanaona kuna sababu yoyote ya kusoma PhD? Maana baba zao hawakusoma hata cheti, lakini wanapewa PhD. Bahati mbaya kizazi cha wanasiasa ndio hicho tena kinaingizwa katika siasa kwa mbinu zote.
Baba ni mwizi, ana Phd ya mchongo na mtoto amekuwa akiona hayo. Ndio maana tunaona watoto wa wansiasa walioko katika siasa, hakuna mtu wa maana zaidi ya kubebwa.
Hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaaTCU = TAFUTA CHETI UJIFAGILIE
TCU wakomae na ubora wa elimu ya vyuo vya elimu ya juu tu, huko kwingine hakuna madhara makubwa!Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya.
Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii taratibu zinazondoa heshima ya elimu ya juu kama vitenbdo hivi vya wabunge.
Hawa wanaojitangaza kupewa PhD ni wazazi je, watoto wao wanaona kuna sababu yoyote ya kusoma PhD? Maana baba zao hawakusoma hata cheti, lakini wanapewa PhD. Bahati mbaya kizazi cha wanasiasa ndio hicho tena kinaingizwa katika siasa kwa mbinu zote.
Baba ni mwizi, ana Phd ya mchongo na mtoto amekuwa akiona hayo. Ndio maana tunaona watoto wa wansiasa walioko katika siasa, hakuna mtu wa maana zaidi ya kubebwa.
Mueleweshe huyo, kazijulia juzi tu kwenye Instagram....Swali sio kupewa, swali unapewa kwa lipi? Hizo wananua tu wala hamna la maana. Nafahamu watu wengi Sana walio nunua hizo PhD.