Udhaifu wa timu za Tanzania dhidi ya timu za Kenya

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,695
Reaction score
2,144
Hivi huu udhaifu unaoonyeshwa na team za kitanzania dhidi ya team za Kenya, si hatakama, tunaingia nao vitani, yani vita mapambano ya kijeshi si wanatudunda hawa. Naona kila eneo wa tz tu wanyonge tu. Nimewaza tu jamani.
 
Timu ikifanya vizuri baada ya muda inachoka..inabidi kufanya usajili wa nguvu...ndio maana Yanga inapoteza muelekeo..inabidi walete wachezaji 7 wapya wa kigeni na wakibongo kumi wazuri timu itarudi kwenye ubora
 
Hivi huu udhaifu unaoonyeshwa na team za kitanzania dhidi ya team za Kenya, si hatakama, tunaingia nao vitani, yani vita mapambano ya kijeshi si wanatudunda hawa. Naona kila eneo wa tz tu wanyonge tu. Nimewaza tu jamani.
Yaani unalinganisha vita ya kijeshi na soka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…