Udhaifu wangu kwa wanawake Ni wowowo

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Salute comrades.Wanaume wenzangu njoo tuambizane kitu.Wanasemaga every person has his/ her own tastes and preferences when it comes to matters food, colours, clothing and e.t.c.

Sasa inapokuja kwenye suala la mapenzi hasa kutongoza,naamini kila mtu anakuwaga na vigezo vyake ambao atavitumia Kama criteria kwa anayemtongoza.

Ikija kwa wanaume wapo wanaopenda wanawake weupe tu,wapo wanaopenda wanawake warefu tu na wapo wanaopenda wanawake wenye misambwanda Kama Mimi Hapa.

Ikumbukwe wanawake pia wanakuwaga na vigezo vyao ambavyo wanapendana wanaume wanaokuja kuwatongoza wawe navyo.Mfano mwanaume lazima awe tall, black and handsome na Tena awe financially stable. Hiki ndo kigezo pekee ambacho wanawake wengi hukitafuta kwa wanaume.

Sasa Mimi binafsi Sina vigezo vingi kwa wanawake.Yaani Mimi Bora Mwanamke awe na taking la maana Basi Mimi hoi.Sura,tabia na akili sio hoja kwangu maana hata akili tunaweza tukatumia tu zangu na life likasonga πŸ˜‚

Huwa najigonga Sana kwa wanawake ambao wamejazia.Hata barabarani nikikutana na mwanamke mwenye wowowo lazima nitamng'ang'ania anipe number.

Yaani huo ndo udhaifu wangu na Kama wewe Ni mwanamke afu unataka kuziteka hisia zangu hakikisha una tako la maana then pita mbele yangu na uanze kubinua, kwa style hii ukiniomba buku 5 mi nakupa laki.

Wanaume wenzangu Basi na nyinyi njooni mseme vigezo ambavyo huwa mnavitumia katika kuwatongoza wanawake.
 
Ugonjwa usio ambukizwa huu leo kidogo nivunjike shingo

Nikaanza kujiombea kimoyo moyo

Shindwa shetani
Ni dalili ya kutumia hela inakuwaga kama emergency call 911
Unajikuta tu umemchombeza Mara nyingi huwa najifanya nimepotea au kuna mahali naulizia
Naulizia eneo ambalo mtaa huo halipo
 
πŸ˜‚ Tatizo nini mkuu?
 
Kipindi nilipokuwa kijana ..nilikuwa na bahati sana ya kupendwa na wanawake wenye misambwanda..mbaya zaidi kila nilipokuwa nikigonga naugua kaswende au gono....mpaka leo nawaogopa wanawake wenye misambwanda nikimuona tu nahisi ana gono au kaswende😎
 
Vipi mzabzab umeshapitia huu uzi huku?🀣
 
Kwani kazi ya wowowo kwenye kunyanduana ni Nini? Zuri likiwa kwenye nguo! Akivua ni kama limao likiwa halijamenywa
 
Hii picha ni edited sio real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…