Udhaifu wangu kwa wanawake Ni wowowo

Udhaifu wangu kwa wanawake Ni wowowo

Mguu uliojazia(bia) ndio kitu cha kwanza.
 
Mahututi mm, ewe binti wa ki-Afrika ukitaka ule pesa ya Bhachu bas uwe na "TAKO" tuuuuu
 
Salute comrades.Wanaume wenzangu njoo tuambizane kitu.Wanasemaga every person has his/ her own tastes and preferences when it comes to matters food, colours, clothing and e.t.c.

Sasa inapokuja kwenye suala la mapenzi hasa kutongoza,naamini kila mtu anakuwaga na vigezo vyake ambao atavitumia Kama criteria kwa anayemtongoza.

Ikija kwa wanaume wapo wanaopenda wanawake weupe tu,wapo wanaopenda wanawake warefu tu na wapo wanaopenda wanawake wenye misambwanda Kama Mimi Hapa.

Ikumbukwe wanawake pia wanakuwaga na vigezo vyao ambavyo wanapendana wanaume wanaokuja kuwatongoza wawe navyo.Mfano mwanaume lazima awe tall, black and handsome na Tena awe financially stable. Hiki ndo kigezo pekee ambacho wanawake wengi hukitafuta kwa wanaume.

Sasa Mimi binafsi Sina vigezo vingi kwa wanawake.Yaani Mimi Bora Mwanamke awe na taking la maana Basi Mimi hoi.Sura,tabia na akili sio hoja kwangu maana hata akili tunaweza tukatumia tu zangu na life likasonga 😂

Huwa najigonga Sana kwa wanawake ambao wamejazia.Hata barabarani nikikutana na mwanamke mwenye wowowo lazima nitamng'ang'ania anipe number.

Yaani huo ndo udhaifu wangu na Kama wewe Ni mwanamke afu unataka kuziteka hisia zangu hakikisha una tako la maana then pita mbele yangu na uanze kubinua, kwa style hii ukiniomba buku 5 mi nakupa laki.

Wanaume wenzangu Basi na nyinyi njooni mseme vigezo ambavyo huwa mnavitumia katika kuwatongoza wanawake.View attachment 2336319
Atafutwe mkurugenzi wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza akushauri
 
IMG_0238.jpg
 
Wanawake wenye hiyo mitak0 mikubwa kwenye style ya chuma tembele ukiwa tim-kiba ni shida, inafaa wenye pipe 7-8 inches............
 
Salute comrades.Wanaume wenzangu njoo tuambizane kitu.Wanasemaga every person has his/ her own tastes and preferences when it comes to matters food, colours, clothing and e.t.c.

Sasa inapokuja kwenye suala la mapenzi hasa kutongoza,naamini kila mtu anakuwaga na vigezo vyake ambao atavitumia Kama criteria kwa anayemtongoza.

Ikija kwa wanaume wapo wanaopenda wanawake weupe tu,wapo wanaopenda wanawake warefu tu na wapo wanaopenda wanawake wenye misambwanda Kama Mimi Hapa.

Ikumbukwe wanawake pia wanakuwaga na vigezo vyao ambavyo wanapendana wanaume wanaokuja kuwatongoza wawe navyo.Mfano mwanaume lazima awe tall, black and handsome na Tena awe financially stable. Hiki ndo kigezo pekee ambacho wanawake wengi hukitafuta kwa wanaume.

Sasa Mimi binafsi Sina vigezo vingi kwa wanawake.Yaani Mimi Bora Mwanamke awe na taking la maana Basi Mimi hoi.Sura,tabia na akili sio hoja kwangu maana hata akili tunaweza tukatumia tu zangu na life likasonga [emoji23]

Huwa najigonga Sana kwa wanawake ambao wamejazia.Hata barabarani nikikutana na mwanamke mwenye wowowo lazima nitamng'ang'ania anipe number.

Yaani huo ndo udhaifu wangu na Kama wewe Ni mwanamke afu unataka kuziteka hisia zangu hakikisha una tako la maana then pita mbele yangu na uanze kubinua, kwa style hii ukiniomba buku 5 mi nakupa laki.

Wanaume wenzangu Basi na nyinyi njooni mseme vigezo ambavyo huwa mnavitumia katika kuwatongoza wanawake.View attachment 2336319
Mi kifua wowo sipendi kabisa,akiwa na ndala sipendi
 
Uumbaji
 
Hahaha!jogoo sifi kwa utitili,,,kumbe tupo wengii hivii " NB:Sio Trako tu bali liwe laini flani(soft drink)" wallah ntakufa miyeee looooh!! nalog off
 
Back
Top Bottom