Mkuu adolay,
Wala hakuna kilichonisukuma mpaka kuuliza swali uwa ikifika jumapili ukiwa na shida kwenye ofisi za serikali ofisi zote zinafungwa lakini tunashukuru mabenki binafsi wanafanya kazi siku hizi jumapili.
Nakubaliana na wewe mkuu.
Kama ofisi zinafungwa nitatizo na wote tunajuwa hivyo. Napata wakati mgum kutokana na hili, labda utanisaidia au kwa yeyote anaefatilia mjadala huu. Angalizo na ombi, ustaarabu kwanza kwa sabab sisi sote ni watanzania.
1. Je tunahitaji kuwa na siku za mapunziko?
i) kama tutapumzika ni siku zipi na kwanin
ii) kama tutapumzika i) hapo juu ofisi zitafungwa. Je tutakuwa tumetatua tatizo? Kivipi?
2. kama hatuhitaji kuwa na mapumziko, je tunaubavu kufanya kazi siku zote?
i) kama hapana tunafanyaje? Na kwanin
Last edited by a moderator: