Udhalilishwaji! Semina za sensa za endelea japokua ni sikukuu ya Idd

Mkuu adolay,

Wala hakuna kilichonisukuma mpaka kuuliza swali uwa ikifika jumapili ukiwa na shida kwenye ofisi za serikali ofisi zote zinafungwa lakini tunashukuru mabenki binafsi wanafanya kazi siku hizi jumapili.


Nakubaliana na wewe mkuu.

Kama ofisi zinafungwa nitatizo na wote tunajuwa hivyo. Napata wakati mgum kutokana na hili, labda utanisaidia au kwa yeyote anaefatilia mjadala huu. Angalizo na ombi, ustaarabu kwanza kwa sabab sisi sote ni watanzania.

1. Je tunahitaji kuwa na siku za mapunziko?

i) kama tutapumzika ni siku zipi na kwanin

ii) kama tutapumzika i) hapo juu ofisi zitafungwa. Je tutakuwa tumetatua tatizo? Kivipi?

2. kama hatuhitaji kuwa na mapumziko, je tunaubavu kufanya kazi siku zote?

i) kama hapana tunafanyaje? Na kwanin
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nashukuru kwa majibu yako murua, kama binadamu tunaitaji kupumzika hakuna tatizo jumapili kuwa siku ya mapumziko ufanyike utaratibu serikalini wafanye kazi nusu siku kwenye zile ofisi muhimu kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 9 ili kuwapa nafasi wale wanaofanya ibada zao siku ya jumapili.

Mfano nimekupa wa mabenki CRDB Bank, STANBIC Bank. wanafanya kazi jumapili kuanzia saa 4 mpaka saa 8 baadhi ya matawi yao.
 

Mkuu
Umeyatazama haya

1. Uwezo wa kulipa hizo overtime japo kwa masaa 4 tu ni shughuli pevu hata kama kwa ofisi chache muhim, japokuwa kilicho muhim kwako si lazima na kwangu pia.
-anzia ngazi za wilaya, mikowa, wizara hadi kule magogoni.

-Tumeshindwa kuongeza mishahara ya walim, madaktari, na kwa wengine kama hao

-miundombinu afya, elim na mawasiliano, tatizo kubwa.

unayatafakali vipi matatizo hayo?

Tunapoongelea mabenki na taasis binafsi na kuzilinganisha na serikali kunatofauti.

Selikali kubwa mno, je inaweza kuwa na ziada ya wafanyakaz kuback up?
 
wanataka waislam waandamane tu...tangia nizaliwe sijaona wakristu wakiandamana (favoritism).
 
Ukweli hapo haikutendwa haki kwa waislam ila hawa wenye utaalam wa kuwaombea walemavu na kupona hapo hapo huwa wanachukia na kucngizia udini wanapo ambiwa ukweli ama kweli cha kubuni kitabakia cha kubuni tu

Wanafiki Wakubwa Nyie! Si mligomea SENSA.. Mnapiga KELELE ZA NINI.

Mnanitia Hasira tu kwa Ujinga wenu. NENDENI SHULE.
 
Achana na mawazo ya kitoto kila siku nyinyi ndo mnaonewa na kudhalilishwa, mbona husemi uchaguzi mkuu uliofanyika jumapili, mbona husemi sensa itakayoanza jumapili. Alafu unajitetea eti uongei kuhusu ukristo au uislamu, kwa mtu mwenye uwezo wa kufikiri anatambua ni dhahili unaushambulia ukristo maana umeongelea PASAKA NA X-MASS. Umeongea kuhusu NIGERIA kwamba yanayotokea huko yanaweza kuhamia hapa hivi karibuni. Sawa tu acha yaje.

Hizi ni fikra za kitoto sana, kuonewa-kuonewa, kudhalilishwa-kudhalilishwa. I hate this habit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…