Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,015
Reaction score
2,454
Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni.

FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake.

FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote wa zaidi ya michezo 8 ambayo matokeo yalibadilishwa.

Inadaiwa klabu hii na viongozi huwalipa wachezaji kufanya vibaya na kucheza vibaya dhidi ya timu yake ili washinde michezo.

Rais wa Shirikisho ana wasiwasi na amewasiliana na Rais wa CAF.

FIFA na CAF huchukia upangaji wa mechi na upotoshaji wa mechi.

Uadilifu hatarini. Siku za giza zinakuja.
Your browser is not able to display this video.
 
Ligi ya Tanzania inahitaji uchunguzi gani si waangalie tu hizo mechi za Simba na Yanga wakicheza na wapinzani wao waone vibendera wanavyohangaika kushambulia kwa kila namna ili hizo Timu zishinde sijui Kepha Kayombo anawaza nini muda huu..
 
Hata 25 ni sawa inategemea na mtunza muda na kilichokua kinaendelea uwanjani
Uko sahihi inawezekana pia uwezo wa wanao tafsiri sheria, uwezo wa kufikiri na saa wanazozitumia, kikikiki
 
Kuna timu ndiyo inatakiwa kuchunguzwa haraka iwezekanavyo kwa kiendekeza vitendo vya kishirikina, kuhonga marefa na Bodi ya ligi.
 
Izo ni kelele zisizo na Mashiko na FIFA haziwezi kuchunguza upuuzi uo.
FIFA ndio wanao sisitiza na kuhamasisha vilabu vipate udhamini wa kujiendesha kwaiyo izo taarifa zenu uchwara mtawapata Mbumbumbu wenzenu.
 
Izo ni kelele zisizo na Mashiko na FIFA haziwezi kuchunguza upuuzi uo.
FIFA ndio wanao sisitiza na kuhamasisha vilabu vipate udhamini wa kujiendesha kwaiyo izo taarifa zenu uchwara mtawapata Mbumbumbu wenzenu.
Kubalini FIFA wachunguze ili tujue mbivu na mbichi full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…