Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ukileta UHUNI wa kupoteza muda hata dakika 40 zitaongezwa dakika 40.Nasikia zifika dk 20 Leo zitafika dk 30
Ukileta UHUNI wa kupoteza muda hata dakika 40 zitaongezwa dakika 40.Nasikia zifika dk 20 Leo zitafika dk 30
KikikikiUkileta UHUNI wa kupoteza muda hata dakika 40 zitaongezwa dakika 40.
Mkuki kwa mchungu, kwa binadamu NguruweWasisahau marefa wanaongeza dk 15+
What goes around comes around
Mkuki kwa......................
Usipo Ziba ufa mwiji chungulia daniMkuki kwa mchungu, kwa binadamu Nguruwe
Sasa simba wapige kelele za nini wakati tff na bodi ya ligi inawapambania.Simba hatari sana, wao hawapigi kelele wamenyooka, wanafanya vitendo tu