Udhamini wa serikali chuo cha madini dodoma

Udhamini wa serikali chuo cha madini dodoma

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
wadau naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata udhamini wa wizara katika kile chuo, nimejaza application form yao, kwenye sponsorship nimechagua government, sasa wasiwasi wangu uko hapa, isije ikawa kuna form tofauti unayojaza na kuipeleka wizarani kuomba udhamini mbali na hiyo admission form, maana chuo hakijaongea lolote kuhusu ilo
 
Back
Top Bottom