Udhibiti wa covid-19 waimarika tanzania

Udhibiti wa covid-19 waimarika tanzania

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,729
Vijijini maisha hayajabidilika. Wanavijiji wameendelea na shughuli zao za kilimo, uvuvi na ufugaji.

Mijini maisha mitaani na hata Uswahilini kwenye makazi ya watu wengi, mambo ni powaaa.

Waliobashiri kutakuwepo na vifo vingi wanatamani na kuendelea kuomba iwe hivyo, ubashiri wao utimie, hawaamini kwa nini haiwi hivyo.

Baadhi ya viongozi wa Serikali wameanza kuruhusu shughuli zilizokuwa zimesimamishwa kuanza mara moja (angalia viambatanisho vya video clips).

Tanzania bila COVID-19 yawezekana iwapo kila mtu atazingatia ushauri wa wataalamu wa afya kujikinga dhidi ya maambukizi na kusambaza.

Pamoja na ushauri huo, yafuatayo ni ya kuzingatia kupunguza uwezekano wa kupata maadhara mengine ya kiafya:-

HATARI YA KUFUNIKA USO KWA BARAKOA
Barakoa inapaswa kutumika kwa muda wa kiasi. Ikiwa utavaa kwa muda mrefu:-
√ oksijeni katika damu hupungua maana hewa chafu unayopumua unaivuta tena;
√ oksijeni ikipungua, ubongo unakosa kiwango kinachotakiwa ufanye kazi vizuri;
√ Ikitokea hivyo mtu anaanza kudhohofika; na
√ kudhohofika kimwili kunaweza kusababisha kifo.

USHAURI:
a) Vua barakoa ukiwa peke yako. Ni Ujinga au kutojua km kuvaa barakoa ukiwa unaendesha gari peke yako
b) Usivae barakoa nyumbani.
c) ivue mara tu uwapo nyumbani kwako au wakati wa kuwasiliana na mtu aliye karibu nawe, na kwenye mkusanyiko wa watu.
d) Punguza matumizi yake wakati umejitenga na watu (uko peke yako km ofisini).

Ili kuishi maisha salama:-
1) ikibidi tumia dawa za hospitali zenye:-
√ vitamini C-1000
√ vitamini E (E)
2) Kaa nje (kati ya saa 4-5 asubuhi) juani kwa dakika 15-20.
3) Angalau kula yai mara moja moja.
4) Pumzika/lala kwa kiwango kisichooungua saa 7-8
5) Kunywa lita 1.5 za maji kila siku
6) Kila chakula utakachokula lazima kiwe cha moto (sio baridi).
7) Kula vyakula zaidi vyenye alkali (alkaline) zaidi kuliko vya tindikali (acidic) kama vile:
√ Limau;
√ Parachichi;
√ Kitunguu saumu;
√ Embe;
√ Chenza;
√ Tikitimaji; na
√ Chungwa
8) Kunywa maji ya moto yaliyotumbukizwa limau, hupunguza virusi vya korona kabla havijafika kwenye mapafu.

JIJINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO.



UPDATE

Ripoti iliyoyolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (ECDC) na kisha ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na Kituo kikubwa cha Habari cha nchini Ujerumani (Deutsche Welle - DW) imeitaja Tanzania kuwa ni nchi pekeeduniani isiyokuwa na maambukizi ya COVID-19 kwa wiki 46. Hii ina maana maombi yetu kwa Mungu ikiwa ni pamoja na kuzingatia kanuni na ushauri wa wataalamu wa afya ndiyo matokeo hayo.View attachment 1628147
 

Attachments

  • VID-20200519-WA0001.mp4
    6.9 MB
Back
Top Bottom