Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Mh. Mama yetu Samia Rais Wa Jamuhiri ya muungano wa Tanzania
Salaam;
Kama wengi wanavyoeleza urais taasisi kubwa na nyeti sana yapo mambo ambayo yanafanyika kutokana na maendeleo ya kitecnologia ambayo kwa umuhimu Wa Taasisi hiyo yanaharibu.
Kikao cha majuzi cha kuwafunda baraza la mawaziri Mmmh yapo mambo ambayo hayapashwi kuwa aired, statement ya " kila Mtu anakula urefu Wa kamba yake" na unafahamu kwamba wanakula inatunyima amani sisi watu wako, ndiyo maana kumbe "kwa usemi Wa Makamu wako; watu wanachawiana kupata nafasi ili wafaidi siyo za kuwatumikia watu kwa dhati.
Nashauri vikao vya kusemana vifanyieni chumbani sisi watoto sebureni tusisikie, Uhuru wa habari za Ikulu uwe na mipaka tena ziweekewe mkuta mrefu zitoke baada ya kuhakikiwa, mnatupa wasiwasi na Kule tuendako. kama kuna kufaidi si basi ungefaidisha mikoa yote ukateua for equal distribution