Udhihirisho (manifestation) kwenye hizi namba unafanyikaje?

Udhihirisho (manifestation) kwenye hizi namba unafanyikaje?

Hondelo

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
155
Reaction score
242
Mara kadhaa nimekutana na stori nyingi kuhusu upekee wa hizi namba (3,6 na 9), wengine wakidai zikitumika katika manifestation zina nguvu kubwa. Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya.

Swali langu ni je, hii habari ni kweli? Na kama ni kweli inafanyikaje?

Nawasilisha.
 
Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya.
Kwa kifupi, hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono imani hii, kumbuka kuwa mafanikio yoyote ya kufanikisha malengo yanategemea zaidi juhudi na kujituma kwa mtu binafsi.
 
Hiyo inaitwa 369 manifestation method.

Hii ni njia Moja wapo ya kujianinisha kuwa una kitu na kukiruhusu kuja kwako.

Hii 369 masna yake no kwamba ukiamka asubihi unaandika kitu unachotaka kwenye karatasi mara 3

Ikifika mchana unaansika kile kitu mara 6 na jioni kabla ya kulala unaandika mara 9.

Hii sip kazi rahisi kwani sip kuandika tu Bali unatakiwa uamini na uwe na njoa za kukipata hicho kitu sio ukae tu utasubiro sana
 
Unafanya hivo kwa siku ngapi mkuu
 
Unafanya hivo kwa siku ngapi mkuu
Inatakiwa liwe wndelevu mpaka utakapo fanikiwa. Wataaalamu pua wanasema usitume mixed signal unaichanganya universe.

Kwamfano kama unataka upate milioni moja omba milioni Moja ma ueleze jisnsi ya kuipata.

Umitaka upate demu mrembo andika na utoke ukamtafute😂
 
Inatakiwa liwe wndelevu mpaka utakapo fanikiwa. Wataaalamu pua wanasema usitume mixed signal unaichanganya universe.

Kwamfano kama unataka upate milioni moja omba milioni Moja ma ueleze jisnsi ya kuipata.

Umitaka upate demu mrembo andika na utoke ukamtafute[emoji23]
Sawa nimekupata jombaa[emoji55]
 
Back
Top Bottom