Kwa kifupi, hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono imani hii, kumbuka kuwa mafanikio yoyote ya kufanikisha malengo yanategemea zaidi juhudi na kujituma kwa mtu binafsi.Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya.
Unafanya hivo kwa siku ngapi mkuuHiyo inaitwa 369 manifestation method.
Hii ni njia Moja wapo ya kujianinisha kuwa una kitu na kukiruhusu kuja kwako.
Hii 369 masna yake no kwamba ukiamka asubihi unaandika kitu unachotaka kwenye karatasi mara 3
Ikifika mchana unaansika kile kitu mara 6 na jioni kabla ya kulala unaandika mara 9.
Hii sip kazi rahisi kwani sip kuandika tu Bali unatakiwa uamini na uwe na njoa za kukipata hicho kitu sio ukae tu utasubiro sana
Inatakiwa liwe wndelevu mpaka utakapo fanikiwa. Wataaalamu pua wanasema usitume mixed signal unaichanganya universe.Unafanya hivo kwa siku ngapi mkuu
Sawa nimekupata jombaa[emoji55]Inatakiwa liwe wndelevu mpaka utakapo fanikiwa. Wataaalamu pua wanasema usitume mixed signal unaichanganya universe.
Kwamfano kama unataka upate milioni moja omba milioni Moja ma ueleze jisnsi ya kuipata.
Umitaka upate demu mrembo andika na utoke ukamtafute[emoji23]