Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Habari za jioni Ndugu zangu.
Nnakiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nasoma shuhuda za watu hapa JamiiForums kuhusu Mungu Na ulimwengu Na roho.
Nimesoma shuhuda za watu wawili mpaka sasa Ramon Na Nelson Jacob. Nakiri shuhuda zao niliziamini na zimenifanya nipande viwango kiroho yani nimekuwa katika viwango vingine tofauti na nilivyokuwa kabla sijasoma shuhuda hizo.
Naamini wapo wengine pia ambao wamebarikiwa sana na wamepanda viwango kama ilivyo kwangu.
INAENDELEA