Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Naona leo umeshiba maharage ya iringa
Wewe uko Myopic of uhuru wa kujieleza, mtu haishi kwa mkate peke yake!
Myopic! unaithibitsha now!Sijasema mtu anaishi kwa mkate peke yake. We vipi wewe!!
Kutoa ya moyoni ni haki ya kila mwanadamu kama ilivyo haki hiyo kwako wewe kutoa hicho kilichopo tumboni mwakoJadili hoja. Achana na kilichomo tumboni mwangu!
Kumbe unaelewa ila unajifanya huelewiSijasema mtu anaishi kwa mkate peke yake. We vipi wewe!!
Myopic! unaithibitsha now!
None!Okay. What else?
Wanalazimisha apendwe tu hata kama hapendekiHakuna raisi ambaye amewahi kupendwa na raia wote...na hawezi kutokea kamwe...
Kutoa ya moyoni ni haki ya kila mwanadamu kama ilivyo haki hiyo kwako wewe kutoa hicho kilichopo tumboni mwako
None!
Online content regulations 2018 , miscellaneous amendments 2018 za Statics Act, na usimamizi mkali wa Cyber Crimes Act, ni viashiria toshelevu vya viambata vya udikteta.
Na sasa, muswada wa vyama vya siasa!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia tumboni mwako mimi nimetoa ya moyoni mwanguKilicho tumboni mwako ushakitoa asubuhi hii?
Hata yesu alikuwa muungwana sana lakini hakupendwa na watu wote, mbaya zaidi na mijeredi alipigwa na misumari akapigiliwa..sembuse sisi binadamuWanalazimisha apendwe tu hata kama hapendeki