CCM wamemuweka pale Mbowe kuonesha kuwa Tanzania kuna upinzani lakini kwa mtu anayefuatilia siasa za nchi hii Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali tuna vyama AMBAVYO ni vivuli vya CCM.
Hilo mbona linajulikana toka kwa Mzee Mtei, sasa mkwewe. Hiko ni chama cha danganya watanzania ili ya chama cha mambuzi yaende. Hiki kiini macho iko siku ya ukombozi wa Tanzania si hivi vyama vya ruzuku.

Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia Chadema labda uwe unapata chochote kitu. .Hiyo inajulikana ni chama cha kabila fulani nyie wengine shobo tu ...Kama wangekuwa serious Lema asingekuwa na uongozi katika hicho chama .
Jambo zuri ni kwamba wana CDM wengi wameanza kupaza sauti kuhusu hili suala. Kitendo cha Mbowe kung'ang'ania madaraka na udikteta wake kimeidhoofisha sana CDM kwa kuondokewa na watu makini. Tunataka CCM itoke lakini wanaoibadili lazima wajithibitishe kuwa ni watu wa maana.
Pengine tungeweza kuyatathmini maneno yake angelikuwa bado yupo upinzani, kitendo cha yeye kujiunga CCM ni wazi kuwa yeye ni tatizo zaidi kuliko hata huyo Mwenyekiti.