Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Sasa CDM kikosa uhali wakuikosoa CCM ndiyo unahamia CCM. Mimi niseme tu msigwa ni haki yake kuhamia chama chochote hata hicho cha CCM na ni haki yake kusema chochote bora havunji sheria ya nchi. Udikteta upo vyama vyote hata huko CCM anapokwenda sema tu kwa sasa Ridhiki chadema imeisha anakwenda kupata ridhiki nyingine CCM. Huwezi ukaongoza chama kikubwa Kama CDM, ACT, CUF. Kisha usiwe dikteta. Huo ni uongo. Kiongozi mzuri ni yule anayetumia njia zote tatu yaani panapo hitaji Demokrasia, wengi wape, panapoitaji fare play unawachia watu waamue wanavyotaka, ila unapoona panakwenda kombo unakita miguu yote miwili na uamuzi wako ndiyo wa mwisho. Viongozi wote nguli duniani ndivyo wanavyo endesha Taasisi zao. Kwahiyo Mbowe hawezi akaona mambo yanaenda kombo akayaachia yaende tu kuogopa kuitwa dikteta, uongozi haundi hivyo hata siku moja."Chadema kimepoteza uhalali wakuikosoa CCM yale tunayokosoa hatuyaishi kwenye chama chetu"