Timu ikishakuwa kwenye nafasi za chini kwenye inakuwa kama haipo vile, ndio maana hasikikiAah udinese chama kongwe kabisa italy hapo wamepita kina zico pia bwana mdogo Sanchez huyu zico kuna mchezaji Tanzania kipindi fulan alijiita hivyo
Haikushuka daraja ila haifanyi vizuri seria A IPO nafasi za chini