Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wakuu wa jukwaa hili, salamu kwenu.
Mimi ni mpenzi wa soka japo sio mfuatiliaji sana, nikiamua kufuatilia nafanya kweli. Kwa sasa kuna akauvivu fulani..
Hii Klabu inayocheza Ligi ya Serie A Nchini Italia, niliijua kupitia mshambuliaji wake hasa miaka ya 2010, kihistoria inaonesha huwa inaingia kwenye UEFA Legue ila kwa sasa haisikiki.
Wadau mnaofuatilia soka kwa undani, hii klabu ishakuwa underdog? Tujuzane hali ya hii klabu ikoje huko majuu.