The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli.
Kama ingekuwa issue ni udini mbona bado wanakosoa vikali hata viongozi wakatoliki wanapokuwa wameshika nyadhifa mbalimbali na kubwa serikalini , sasa tujikumbushe kipindi ambacho wamekuwa wakali
1. Kipindi cha kikwete waziri mkuu alikuwa Mizengo Pinda Mkatoliki safi kabisa lakinii walipiga spana kama kawaida
2. Awamu ya tano Rais Magufuli mseminari na mkataoliki mzuri kabisa, CDF mabeyo mseminari na mkatoliki safi kabisa lakini jamaa wakapiga nyundo kama kawaida kutetea haki, ukandamizaji wa demokrasia na utekaji huku wakikataa kabuisa maelekezo ya Magufului kuhusu corona.
3. Awamu ya sita makamu wa rais Mpango mseminari na mkatoliki mzuri kabisa na sasa awamu ya sita imeteuliwa maana hakuna uchaguzi makamu wa raisi ni Nchimbi mseminari na Mkatoliki safi kabisa lakini hawa jamaa spana ziko pale pale kukemea maovu na wizi wa kura.
Mwenye akili timamu unaweza kuona waseminari ndo wamekuwa viongozi ambao kwa uhakika kuna baaadhi wamesoma na hawa maskofu, Kifupi mtu akiseama ni wadini mi nakataa maana wanayokemea kila mwenye macho na masikio anaona na kusikia.
Kinachofanyika sasa ni mafisadi kuja na propaganda za udini kuonyesha eti kwamba hawapendi waislamu na samia mwenyewe anadanganyika hivyo kitu ambacho ni UONGO MKUBWA, tofauti kubwa ya maaskofu na mashekh ni unafiki tu basi, kwa hiyo huu mwanya wa udini mafisadi wanatutandika nao sana na kuhadaa baadhi ya watu wasiojielewa na serikali iki uendekeza utatupelka pabaya maana tunanjengeana chuki bila kujua.
Pia soma >> Kinachofanywa na maaskofu na watumishi wa Mungu sio siasa