Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja.
Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi kipaumbele kama wewe sio wa Dini yao.
Kwa upande wa ukabila bado kuna changamoto kidogo hasa kwa haya makabila makubwa, lakini siku hizi ukabila ni mdogo.
Shida hipo kwenye Udini, Muislamu atamtetea muarabu kwa namna yoyote, na Mkristo atamtetea mzungu wa Vatican au Israel kwa namna yoyote.
Upigania dini huu unafanya mpaka watu wanashindwa kuchagua watu bora kisa sio wa dini zao.
Zanzibar sio nchi ya kidini, ila serikali imejaa udini wa kufa mtu. Na isingekuwa muungano, zanzibar uenda sheria zake zingetungwa kwa misingi ya kidini.
Hakuna kitu kinachorudisha jamii nyuma kama udini na ukabila
Wazungu na waarabu ni wabaguzi kwa watu weusi lakini kila siku tunawakumbatia huku sisi kwa sisi tukibaguana. Muislamu unabaguliwa na muarabu alafu ukija kwenye jamii nawe unabagua wenzako. Mkristo unabaguliwa na Mvatican au Muisrael ila ukija kwenye jamii nawe unabagua wenzako.