Mzee Kibiongo
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 241
- 4
Ni vema kuteua kiongozi kukutokana na elimu, ujuzi na uwezo wa kazi. Suala la kuona pengine sisi ni minority, only 20% na hivyo basi akipatikana ana kaelimu kanafanania basi tunatumia kigezo cha elimu na si uwezo. Tunajidanganya!!
.From UDOM website:
Chancellor :BW Mkapa
Chairman of University Council : Mohammed Ghalib Bilal
Vice Chancellor : Prof. Idris Kikula
Deputy VC Planning,Finance
Administration : Prof Shaaban Mlacha
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?
KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.
Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.
Tupige kitabu sasa ili tupunguze lile gap ambalo limekuwa agenda yetu kila kukicha, ila hao unaowaita wazanzibar ni watu gani? maana agenda ya kuwa na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ikifanikiwa, work permit itahitajika mjomba wangu na hapo utaona itakavyo kuwa ngumu kufanya kazi katika nchi nyingine, tuombe tu hiyo agenda wanayoitaka washindwe na walegee tusije kosa ajira za namna hii.Habari wanajamvi,