Udini wa kutisha UDOM!

Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.
Wewe mtoa mada, ......UKIONA MTU MZIMA ANADANGANYA WATU, AMA KACHANGANYIKIWA AU AMEWADHARAU WALE ANAOWADANGANYA.... nukuu toka katika moja ya hotuba za Hayati Mwl. Nyerere. Sasa tuambie, uko kundi gani.
 
Ni vema kuteua kiongozi kukutokana na elimu, ujuzi na uwezo wa kazi. Suala la kuona pengine sisi ni minority, only 20% na hivyo basi akipatikana ana kaelimu kanafanania basi tunatumia kigezo cha elimu na si uwezo. Tunajidanganya!!

Elimu ni kigezo tena ndio kinachojenga msingi wa huo uwezo, hilo la uwezo kwanza huwa linapimwa katika utendaji hakuna kitu cha kuthibitisha zaidi ya utendaji, sasa tusipowapa hizo nafasi uwezo wao tutaujua vipi? niliwahi kusema kuna watu wataendelea kulia kila siku kwani kwa sasa dini sio kigezo tena cha mtu kupewa nafasi ndio maana unaona na akina Shabani wanapewa nafasi kuongoza taasisi kama UDOM hao wanaolialia walizoea nafasi hizi ni za wamissionaries tu sasa wanastuka. Poleni kwani mtake ndio hivyo msitake ndio hivyo mlizoea mlidhani hii ni nchi yenu peke yenu? Mnahaha huku na huku kutafuta huruma, leo mnaanza kulia na udini mmesahau majigambo ya kanisa katika awamu tatu zilizo tangulia? au hamsomi hata vitabu mlivyochapisha wenyewe? b
 
From UDOM website:
Chancellor :BW Mkapa
Chairman of University Council : Mohammed Ghalib Bilal
Vice Chancellor : Prof. Idris Kikula
Deputy VC Planning,Finance
Administration : Prof Shaaban Mlacha
.

Pitia Web site ya UDSM utaona ( sitaandika majina yao ila nitaweka dini zao ili na wee uthibitishe hilo

Chancellor :Mkristo ( Katoliki)
Vice Chancellor : Mkristo
Chief Academic : Mkristu

Chief Admin: Mkristo.

Sokoine University
Chancellor :Mkristo ( Katoliki)
Vice Chancellor : Mkristo
Chief Academic : Mkristu

Chief Admin: Mkristo.

Nitawaletea ya UCLAS na Muhimbili baadae.
 
Hivi uduni maana yake nini?

Kwani kwa mujibu wa mtoa mada inaonekana wazi udini maanake ni Uislamu
 
Huwezi kuona ubaguzi kama huna hulka za kibaguzi.mtoa mada anaelekea ni mtaliban wa kikristo,ndio maana anaona palipo na viongozi wengi wa dini ya kiislam basi hiyo taasisi inaendeshwa kiislamu.
TUJIULIZE....Ina maana madai ya waraka wa waislamu uliotolewa na akina PONDA na KUNDECHA kuwa wakristo wamekuwa wakipendelewa katika nafasi za uongozi tangu uhuru ni za kweli?????(Rejea ushahidi walioambatanisha kwenye waraka) na je hilo linathibitisha kwamba Tanzania inaendeshwa kidini??? na dini yenyewe ni ukristo???(hususan ukatoliki.....)
Siamini hivyo na wala siamini katika upendeleo.Yeyote mwenye mtazamo kama mtoa mada ni wazi hastahili hata kutembelea tovuti hii.
Remember''this is the HOME OF GREAT THINKERS" and you are not among us.
 
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?

KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.

Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.
 
yani hilo ni kweli hadi vikao vyenu vya kuchagua viongozi wa chuo kwa kigezo cha udini si mnavyo? udom kumejaa udini na ndo maana chuo hakina hadhi kile...chuo cha kata
 
Wewe huoni TRA yamejaa yenyewe sisi tumenyamza.Yanafurahi kwa wengine udini mimi yananiboa haya majitu
 
Uislam nao ni dini,ingekuwa dini mngechoma makanisa au kujilipua wenyewe ati mtu na akili zako unavaa mijibomu unaingia sokoni kwenda kujilipua ati wewe ufe na mijihela uliyopewa na Magaidi wale familia yako halafu kwa kuwa wao wanaamini akifanya hivyo anaenda Ahera wakati mie nafahamu Ahera ni waendako wafu so watabakia huku milele na milele imekula kwenu dini ya Alshababu,Boko haaramu,Uamsho,Alkaida,Abusayafu nk
Hheheheh ona kule Myama wenzenu wanavyobutuliwa na Wabudisti.
Heri kuwa Budist kuliko kuwa Muislam dini ya mashetani na Ugaidi
 
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?

KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.

Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.

kaka umenena vema wagalatia wamezoea kunena wao wengi na sensa yao ya uongo. Wanahic muslim hawezi chochote. Mkitaka 2endelee nchi hii mawazo kama haya yaondolewe kwenye akili zao. "enyi wagalatia wapumbavu nani aliyewaroga?"- bible.
 
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?

KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.

Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.
Tupige kitabu sasa ili tupunguze lile gap ambalo limekuwa agenda yetu kila kukicha, ila hao unaowaita wazanzibar ni watu gani? maana agenda ya kuwa na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ikifanikiwa, work permit itahitajika mjomba wangu na hapo utaona itakavyo kuwa ngumu kufanya kazi katika nchi nyingine, tuombe tu hiyo agenda wanayoitaka washindwe na walegee tusije kosa ajira za namna hii.
 
Kama wamechaguliwa wakiwa wamekidhi vigezo na sifa za nafasi husika.
Kulalama kuwa wamejazwa waislam watupu sidhani kama kuna tija.

Mi sikujua kuwa kuna hata wakristo wenzangu wanalalamika hivi.
Nlijua wakristo hawana chuki wala nyongo.
Wakibana UDOM, omba UDSM, MZUMBE, SUA, SAUT.
Kukaa na kulalama kuwa UDOM kumejaa waislam ni kauli ya kuonyesha udhaifu.
Ni kama unataka uonewe huruma na upewe nafasi kwa kuhurumiwa.
 
Kama wamechaguliwa wakiwa wamekidhi vigezo na sifa za nafasi husika.
Kulalama kuwa wamejazwa waislam watupu sidhani kama kuna tija.

Mi sikujua kuwa kuna hata wakristo wenzangu wanalalamika hivi.
Nlijua wakristo hawana chuki wala nyongo.
Wakibana UDOM, omba UDSM, MZUMBE, SUA, SAUT.
Kukaa na kulalama kuwa UDOM kumejaa waislam ni kauli ya kuonyesha udhaifu.
Ni kama unataka uonewe huruma na upewe nafasi kwa kuhurumiwa.1. .
 
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?

KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.

Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.

Ubaguzi wa Ujinga, bofya hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/345499-watanzania-na-ubaguzi-wa-ujinga.html
 
Kama UDOM ni seminary ya kiislamu hakuna ubaya kuwajaza wahusika. Ila kama ni chuo cha umma, kama madai husika ni kweli, basi ni makosa. Nadhani watanzania tukue tuachane na mambo ya kufikiri kidini au kikabila. Tusiajiriane kidini bali kufuata merit. Tuanza kujenga utamaduni wa kufikiri kama watanzania badala ya wadini. Hata hivyo inabidi tufahamu kuwa wakubwa hawana dini zaidi ya ubinafsi na ufisi. Ukitaka kujua ninachomaanisha nenda BoT uone walivyojaza watoto wao bila kujali dini bali uzito. Hivyo hili la UDOM tuwe makini nalo maana wahusika ni walalahoi ambao dini yao ni ulalahoi.
 
kila kukicha ni habari za udini tu, kweli nchi hii inaelekea kubaya:A S angry:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom