Udini wa kutisha UDOM!

Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.
So kwahiyo mkakati ni kwamba kila siku lazima ianzishwe thread tena si moja ambayo iko agaisnt muslimu.
Sijui lengo hasa nini.halafu waislam wakitokea wengi na wakajibu hoja thread inatolewa.
Baadae inaweka ingine.chunguzeni ndivo nilivyogundua.
Someone,somewhere is stringup the pot.
Like...''let's just put a little spin on this and just see where it goose.''
SOME NUTJOB.

Mkuu nakubaliana na wewe asilimia miamoja huo ndio ukweli!
 
Hao waliopo UDOM si waisilamu, ni kikundi cha wahuni wachache tu!
 
hao waliopata nafasi kama wamezipata kwa kigezo cha uislamu ata kama ni wachache huo ni udini...ata ivyo nchi hii tukisema tufuate qualifications hatutapata muislamu kwenye idara yoyote,ni kuwasaidia tu awa ndugu zetu.
hebu dhibitisha KI taalam ntakubaliana na wewe!ukishindwa tutajua unaongozwa na emotion
 
Uislam ni janga la kitaifa. Tushirikiane kuutokomeza. JWTZ wapo fit kabisa kuwaangamiza Waislam. Tuwape ushirikiano.

Kwakweli hii sijaipenda, hata kama mimi si muslim, hii naona kama ni kauli ya kichochezi, nasikiaga wanasiasa wakisema! na nadhani hii ni moja wapo! na kama wewe uliyeandika nawe si mwislim, basi utakuwa mpagani, maana katika Maandiko nayoyajua mimi, sijui wapi inakuruhusu, kumwona jirani yako ni Janga!
 
So kwahiyo mkakati ni kwamba kila siku lazima ianzishwe thread tena si moja ambayo iko agaisnt muslimu.
Sijui lengo hasa nini.halafu waislam wakitokea wengi na wakajibu hoja thread inatolewa.
Baadae inaweka ingine.chunguzeni ndivo nilivyogundua.
Someone,somewhere is stringup the pot.
Like...''let's just put a little spin on this and just see where it goose.''
SOME NUTJOB.

thread imeanzishwa na muslam mwenzako ila utatafuta wa kumlaumu kama kawaida yenu.
Hapa ndio utagundua tatizo la waslamu ni wao wenyewe na ndio maana daima wanakimbia ukweli siku zote.
 
Habari wanajamvi,
naanza moja kwa moja kwa kueleza hili kwa furaha isiyo kifani juu ya hizi fikra za udini UDOM zilivyotapakaa.
Yani pale UDOM ukiwa muislam tu, ushapata kazi
Nafasi karibu zote za juu ni waislamu
Ustadh Kikwete kajaza waislam UDOM na katika idara nyingi za serikali
Dr Ame kajaza wazanzibari UDOM
UDOM ni branch ya MUM
....................
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo zimezagaa humu jamvini.
Sasa hebu tusaidiane katika maswala haya machache:
Hivi ni kweli kuwa hakuna waislam wanaokosa kazi hapo UDOM?
Je vyuo na taasisi nyingine ambazo nafasi za juu zimejazwa na wasio waislam ni za kidini pia?
Ni viongozi na watumishi wangapi katika idara za serikali walishateuliwa na mkapa?
Kuna ubaya gani waislam na wazanzibari kupata admission UDOM?

KINACHONIFURAHISHA NI KUTUKUJIAMINI KWA HAWA NDUGU WASIO WAISLAM KWA KUONA KUWA UKRISTO SIO DINI. NASEMA HAYA KWASABABU UKIJAZA WAKRISTO SEHEMU SIO UDINI ILA UKIWEKA WAISLAM HATA WAWILI TU UTAWASIKIA.

Acheni majungu,kwa taarifa yenu waislam ni wachache UDOM (wanafunzi kwa wafanyakazi) kuliko wasio waislam. mnatuona wengi kwasababu ya roho zenu za kibaguzi,siku zote mnapenda MKIWA 15 waislamu wawe wawili,wakifika watano tu utasikia UDINI.

mods nimepitia michango mingi humu, naomba muifute hii thread.
 
Nasikiliza Radio Safina sasa hivi. Kuna binti anaitwa Rahma, kapiga simu kuuliza kitu - nilipitwa na swali mwanzoni - ila la pili alikuwa anashangaa house girls hawadumu kwake. Ame-end up kumpokea Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yake!

Ameni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mungu mkubwa .
 
hebu dhibitisha KI taalam ntakubaliana na wewe!ukishindwa tutajua unaongozwa na emotion

hamna emotions hapa ata wewe unaujua ukweli huu..waslam wengi hawapendi shule na wachache wanaopenda uwezo wao darasani sio mkubwa..vuta kumbukumbu miaka iyo shuleni na ata leo watoto wa kislamu ndio watukutu na wasiotaka shule,malezi mabovu,no nidhamu ndio maana wengi wanaachia shule njiani..watoto wa kikristu wanafanya vizuri mashuleni haswa kwenye nidhamu na nidhamu ndio msingi wa yote..
Mwisho wa siku mwisho wa safari watoto wa kikristo wanafanikiwa sana sababu ya misingi mizuri ya malezi..

Waslamu anzieni kwenye malezi bora kwa watoto wenu,wajengeeni moyo wa kupenda kujifunza sio kugombana..ni kawaida kukuta mama wa kislamu anamtukana mtoto wake mdogo kmamako.
 
thread imeanzishwa na muslam mwenzako ila utatafuta wa kumlaumu kama kawaida yenu.
Hapa ndio utagundua tatizo la waslamu ni wao wenyewe na ndio maana daima wanakimbia ukweli siku zote.

how sure are you?..alieleta uzi anaweza kuwa hata mkristo,au dini yeyote.kuleta uzi akijibainisha kama mwislamu siyo maana kwamba ni mwislamu.
 
Duh nyie Mungu wenu wa ajabu kweli kweli. unafkiri yeye anashindwa kufanya kazi ya kuua hadi ninyi mumsaidie?
Na mkioa wake wanne mnabarikiwa, mnapoumwa vibofu vya mkojo hamsemi kitu. we umeona wapi mwanadamu mwenye akili timamu akalala na mschana wa miaka 9, halafu unasingizia eti Mungu kanituma.
 
Weka takwimu.

TAKWIMU!!!!!! Ma-Meneja wa Mikoa Mamlaka ya mapato Tanzania Waislamu ni WAWILI TU!!!!!!!: Mkoa wa Tanga na Mkoa wa Morogoro tu!!!! Takwimu zinatosha ama nikuongeze zingine?
 
Duh nyie Mungu wenu wa ajabu kweli kweli. unafkiri yeye anashindwa kufanya kazi ya kuua hadi ninyi mumsaidie?
Na mkioa wake wanne mnabarikiwa, mnapoumwa vibofu vya mkojo hamsemi kitu. we umeona wapi mwanadamu mwenye akili timamu akalala na mschana wa miaka 9, halafu unasingizia eti Mungu kanituma.

Toa andiko linalosema hivyo!!! La sivyo wewe ni mropokaji....
 
hamna emotions hapa ata wewe unaujua ukweli huu..waslam wengi hawapendi shule na wachache wanaopenda uwezo wao darasani sio mkubwa..vuta kumbukumbu miaka iyo shuleni na ata leo watoto wa kislamu ndio watukutu na wasiotaka shule,malezi mabovu,no nidhamu ndio maana wengi wanaachia shule njiani..watoto wa kikristu wanafanya vizuri mashuleni haswa kwenye nidhamu na nidhamu ndio msingi wa yote..
Mwisho wa siku mwisho wa safari watoto wa kikristo wanafanikiwa sana sababu ya misingi mizuri ya malezi..

Waslamu anzieni kwenye malezi bora kwa watoto wenu,wajengeeni moyo wa kupenda kujifunza sio kugombana..ni kawaida kukuta mama wa kislamu anamtukana mtoto wake mdogo kmamako.
A

cha uongo wewe!!!! Hizo shule za kikristo si ndo zina kashfa ya kuvujisha mitihani kwa wanafunzi ili wafaulu? Chezea baraza la mitihani wewe!!!! Unafikiri ni kwa nini Dr. Ndalichako waislamu hawamtaki baraza la mitihani??? Kuvujisha mitihani kwa shule za wakristo kisha wakifaulu utasikia eti wakijisifu kwamba zao watoto wana akili.... Akili wapi bwana.... wanapewa pepa!!!!! Kwanza shule nyingi za kikristo wanapenda sana masomo ya art!!! Someni masomo ya kiume muone kama mtafaulu ki hivyo. Soma Kemia, Islamic Knowledge, Mathematics etc lakini Unasoma history.... Kwani historia ina ugumu gani? Maswali ya Mwenemutapa??? Kila mwaka hata swali wakilipindisha namna gani majibu huwa ni yaleyale!!!!!
 
Sina haja ya maandiko kwani mtume wenu alioa wake wangapi? na kati ya hao wote walikua above 18? wapo waliokua under 18 and under 10. jamaa alishukiwa na pepo akasema kashukiwa na Mungu kilichompata ni kuagizwa kuoa wake 12 na bibi linalomzidi umri wa kumzaa
 
Poleni sana wakristo kwa umbumbumbu!!! Biblia yenu hamuijui.... Leo unataka kujitutumua kuijua korani, utaweza wewe? Eti waislamu huwa hawana akili darasani.... Wewe!!!! Mbona ninyi mnalishwa mikate inayotengezwa kiwanda kisichojulikana hamuoneshi akili kwa kuliza material yanayotumika kutengeneza mkate huo? Kama kweli mna akili mgeuliza.... Hebu nieleze kama kweli wakristo wamesoma na wana akili, je kiwanda kinachotengeneza mikate inayoliwa kanisani kiko wapi na kinaitwaje?????
 
Jamani jamani jamani staha inahitajika tunapotaka kujipeleka tutajuta, ewe Mwenyezi Mungu tuepushie na janga hili la udini lililoanza kutapakaa nchini uwe mwaamuzi juu yetu. MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE, WEWE NDO UMETUSABABISHIA DINI HIZI NAWE NDO UTATUSAIDIA KUISHI KWA AMANI PASINA UBAGUZI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom